JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Afya

Sababu zinazochangia uchovu mara kwa mara-

Uchovu ni kitu cha kawaida katika maisha ya binadamu. Kila mwanadamu hupitia hali hii na hasa baada ya kupitia shughuli mbalimbali ambazo zilitumia nguvu sana ya mwili au hata akili pia. Ni rahisi sana kuweza kutambua sababu uchovu wa mwili…

AFYA: Usizidharau dalili hizi

Hizi ni dalili mbalimbali zinazojitokeza kwenye miili yetu. Japo zinaweza zisiashirie tatizo, lakini kama ikitokea zinajirudia mara kwa mara ni vyema kupata vipimo na ushauri wa kiafya. Dalili ya kwanza ni udhaifu wa kwenye miguu na mikono kunakoambatana na ganzi….

Prof. Kairuki Anaishi Baada ya Kifo

Na Mwandishi Wetu   Februari 6, mwaka 2018 ilitimia miaka 19 tangu Prof. Hubert Kairuki alipofariki dunia. Katika kipindi kama hicho, wapo maprofesa wengi waliofariki hapa nchini na nje ya nchi siku hiyo. Ni kwa bahati mbaya kuwa siku walipofariki…

DALILI ZA SHAMBULIO LA MOYO

Kinga ni bora kuliko tiba. Mara nyingi magonjwa mengi yanahatarisha afya zetu kwa kutoziweka maanani dalili zake. Bila shaka makala hii leo itakusaidia katika kuzitambua dalili zinazoashiria shambulio la moyo na kuwahi kuwaona wahudumu wa afya. Uchovu usio wa kawaida Uchovu…

KUPATA HEDHI INAYODUMU HADI KWA KIPIDI CHA WIKI MOJA KUNAASHIRIA TATIZO LINALOHITAJI UANGALIZI

Ni kawaida kwa mwanamke aliyepevuka kupata hedhi ya kila mwezi katika mzunguko wake, kutokana na mabadiliko ya homoni ambapo mfuko wa uzazi unatengeneza ukuta mpya kwa ajili ya mapokezi ya utungishwaji wa mimba. Kwa kipindi hicho, mwanamke anapitia siku kadhaa…

BADO HUJACHELEWA KUSEMA HAPANA KWA SIGARA

Kama ni mvutaji wa sigara, basi pia unapaswa kufahamu ni kwa kiasi gani uvutaji wa sigara ulivyo na madhara kwa afya yako. Nimejaribu kufanya utafiti mdogo ikiwa ni pamoja na kuongea na ‘wavutaji mahiri’ na asilimia 90 ya wavutaji,  45…