Category: Afya
Vipimo muhimu ambavyo wengi huvisahau – 1
Vipimo ni muhimu sana kwa maendeleo ya afya. Kupitia vipimo tunaweza kutambua mustakabali wa afya zetu na hivyo kujiweka kwenye nafasi nzuri katika kupambana na maradhi mbalimbali. Hivi karibuni takwimu kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) zilionesha kuwa idadi ya…
Ujue kwa Undani Ugonjwa Uliomuua Agness Maogange
Taarifa tulizopokea leo ni kuwa aliyekuwa video vixen Agnes Gerald maarufu Masogange amefariki dunia mchana wa leo. Wakili wa mlimbwende huyo, Roben Simwanza amethibitisha kutokea kwa kifo hicho majira ya saa 10 jioni leo Ijumaa April 20, 2018. Semwanza amesema…
Dalili zinazoashiria tatizo kwenye afya yako
Watu wengi wamekuwa na tabia ya kupuuzia baadhi ya dalili ndogo zinazojitokeza kwenye afya zao pasipo kujua chanzo hasa cha dalili hizo. Ifahamike kuwa tabia hii ni hatari sana kwa sababu matatizo yote makubwa ya kiafya huwa yanaanza na dalili…
KING MAJUTO ANAUMWA
Na Moshy Kiyungi, Tabora Imekuwa kawaida kuandika historia ya mtu pindi anapofariki. Katika makala hii namuangazia mwigizaji mkongwe wa Filamu na vichekesho Tanzania, Amri Athuman maarufu kama King Majuto. Mchekeshaji Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ amelazwa katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar…
Dawa za nguvu za kiume bila ushauri wa daktari ni hatari
“Samahani daktari, asubuhi ya siku tatu zilizopita kaka yangu alikutwa amekufa chumbani kwenye nyumba ya wageni alipokwenda kupumzika na mpenzi wake…” “Lakini baada ya kumhoji huyo mpenzi wake, alisema wakati wameingia chumbani alikunywa vidonge kadhaa ambavyo baadaye, wataalamu waligundua vilikuwa…
Uchovu mara kwa mara – 2
Karibu tena msomaji wangu wa Safu hii ya Afya. Leo tutaendelea na mwendelezo wa mada yetu ya wiki iliyopita kama nilivokuahidi. Kwa kukukumbusha tu msomaji, wiki iliyopita nilieleza kuhusu sababu zilizo nyuma ya uchovu uliokithiri. Uchovu ambao mara nyingi huwa…