Category: Maoni ya Mhariri
Makabwela wengi wanaumia mahabusu bila kuwa na hatia
Mfanyabiashara James Rugemalira ameachiwa huru baada ya kuwekwa rumande kwa miaka zaidi ya minne akikabiliwa na mashitaka ya uhujumu uchumi na mengine kadhaa yaliyokosa ushahidi. Kuachiwa kwake kumefufua mjadala miongoni mwa Watanzania, hasa wanaokerwa na mfumo wa ucheleweshwaji wa mashauri…
Kauli ya Spika Ndugai isiachwe ipite hivi hivi
Spika Job Ndugai, ametoa kauli inayohitaji kufanyiwa kazi na mamlaka zinazohusika. Akizungumza wakati wa kuahirishwa Mkutano wa Bunge jijini Dodoma mwishoni mwa wiki, Spika Ndugai alishangazwa na namna baadhi ya watumishi wa serikali wasivyotulia katika makao makuu hayo ya nchi….
IGP amekwisha kuhukumu,iundwe tume huru
Askari Polisi watatu, mlinzi wa kampuni binafsi na mtu aliyetajwakwa jina la Hamza, wamefariki dunia katika tukio la kurushianarisasi jijini Dar es Salaam wiki iliyopita.Kutokana na mauaji hayo yaliyotekelezwa na Hamza, Rais SamiaSuluhu Hassan, ameliagiza Jeshi la Polisi kufanya uchunguziwa…
Polisi msibweteke kupungua kwa ajali
Katika toleo hili tumechapisha makala ikimnukuu Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Wilbroad Mutafungwa, akizungumzia masuala ya ajali. Kwa mujibu wa Kamishina huyo wa Jeshi la Polisi, takwimu zilizopo ndani ya miaka 10…
Hili la madarasa lazima Ma-RC wakumbushwe?
Watoto zaidi ya milioni moja wamo katika maandalizi ya mitihani ya kumaliza masomo ya shule ya msingi inayotarajiwa kufanyika mwanzoni mwa mwezi ujao nchi nzima. Maana yake ni kwamba ndani ya miezi mitatu tu baada ya hapo, watoto hawa watahitaji…
Chanjo ya corona ni hiari, lakini muhimu
Julai 28, mwaka huu Rais Samia Suluhu Hassan amezindua chanjo ya Covid-19 (corona). Katika uzinduzi huo uliofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, Samia, amechanjwa chanjo ya Johnson & Johnson inayotolewa kwa dozi moja ili kujikinga dhidi ya maambukizi ya ugonjwa…