Category: Maoni ya Mhariri
Tujiandae kwa kumbukumbu za Nyerere, Karume
Waasisi wa taifa la Tanzania, Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Sheikh Abeid Amani Karume, mwaka huu watafanyiwa kumbukumbu mbili tofauti; lakini zote zikiwa na umuhimu mkubwa. Kumbukumbu hizi zitafanyika kwa kufuatana; Aprili mwaka huu, ambapo kwa Sheikh…
Wazawa wawezeshwe kumiliki migodi
Wiki iliyopita Tanzania ilipiga hatua kubwa na ya kihistoria katika sekta ya madini nchini, baada ya kushuhudiwa utiaji saini wa mikataba kati ya serikali na kampuni za kimataifa. Mikataba hiyo yenye thamani ya zaidi ya Sh trilioni 1 inatarajiwa kuchochea…
Uhusiano na Kenya uwe wa kudumu, lakini…
Wiki iliyopita Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wamefanya mazungumzo Ikulu ya Dar es Salaam na kufikia makubaliano kadhaa muhimu kwa wananchi wa mataifa haya jirani. Mazungumzo yao yalikamilika kwa kutiliana saini mikataba minane katika nyanja…
‘Happy Birthday’ JAMHURI
Jana Desemba 6, 2021 ilitimia miaka 10 tangu toleo la kwanza la Gazeti la JAMHURI lilipoingia kwenye orodha ya magazeti yanayochapishwa, kusambazwa na kuuzwa ndani na nje ya nchi yetu. Desemba 6, 2011 inabaki kuwa siku muhimu kwetu waanzilishi wa…
Mapendekezo ya PAC yazingatiwe
Siku chache zilizopita Tanzania imekumbwa na taharuki baada ya kutangazwa rasmi kuwapo kwa mgawo wa umeme na maji katika miji na majiji kadhaa. Taarifa hii ya kushitusha imetokana na ukosefu wa mvua za vuli na za msimu zilizotarajiwa kunyesha katika…
Migogoro hii ya ardhi hadi lini?
Migogoro ya ardhi nchini ni miongoni mwa masuala yanayolitia doa taifa huku ikisababisha chuki na uhasama kati ya jamii moja na nyingine au kati ya mtu na mtu. Serikali iliunda kamati maalumu ya mawaziri wanane wa kisekta kutatua migogoro hiyo…