JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Maoni ya Mhariri

Baada ya mshahara, sasa chapeni kazi

Wiki hii serikali imetangaza kukubali maombi ya Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) ya kupandisha kima cha chini cha mishahara kwa wafanyakazi wa umma nchini. Haya ni maombi ya muda mrefu na mara kwa mara serikali imekuwa ikishindwa kuyatekeleza…

Hatua zichukuliwe kulilinda Ziwa Victoria

Kwa zaidi ya wiki tatu sasa tumekuwa tukipokea malalamiko kutoka kwa wananchi wanaoishi pembeni mwa Ziwa Victoria, wakilalamika kuhusu kukithiri kwa uvuvi haramu. Malalamiko hayo ambayo kwa namna fulani tumeyathibitisha, yanatoka kwa raia wema waliopo mwambao wa ziwa hilo, hasa…

Pumzika Sheikh Abeid Amani Karume

Alhamisi hii Tanzania inafanya kumbukizi ya kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar, mwanamapinduzi Sheikh Abeid Amani Karume, ambaye sasa anatimiza miaka 50 tangu alipouawa kwa kupigwa risasi Aprili 12, 1972. Huo ndio uliokuwa msiba wa kwanza mzito kwa taifa…

Upandaji miti unahitaji wigo mpana zaidi

Miongoni mwa vichocheo vinavyoongeza tishio la ukame na mabadiliko ya tabia nchi linaloikumba dunia kwa muda mrefu sasa ni ukataji holela wa miti na uharibifu wa mazingira, hususan misitu. Ongezeko la ukataji miti ni tatizo kubwa kwa dunia na hata…

Hongera Rais Samia Suluhu Hassan

Rais Samia Suluhu Hassan ametimiza mwaka mmoja tangu alipoapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kifo cha Dk. John Magufuli. Taifa, kama familia, linapoondokewa na kiongozi mkubwa kwa kawaida huibuka shaka na sintofahamu miongoni mwa wananchi….

Tutapiga hatua muhimu kuandaa kanuni za mikutano ya hadhara

Tutapiga hatua muhimu kuandaa kanuni za mikutano ya hadhara Rais Samia Suluhu Hassan ametoa agizo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Dk. Pindi Chana, kuandaa kanuni zitakazoelekeza jinsi ya kufanya mikutano ya hadhara ya…