Category: Maoni ya Mhariri
Wavamizi wa ardhi wasifumbiwe macho
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanza kubomoa nyumba ambazo zimejengwa kwenye maeneo ya wazi na viwanja vilivyovyamiwa na watu wasio wamiliki halali wa viwanja hivyo.
Wavamizi wa maeneo ya wazi waadabishwe
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kwa kushirikiana na viongozi waadilifu katika Jiji la Dar es Salaam, wamelikomboa eneo la wazi lililovamiwa na mfanyabiashara na kujengwa jengo la biashara.
Wabunge msiwaangushe Watanzania
Kwa mara nyingine, wiki hii Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanakabiliwa na mtihani wa kuthibitisha kama kweli ni wawakilishi halali wa Watanzania, au la!
Biashara ya dawa za kulevya ikomeshwe kwa vitendo
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi, amesema Serikali inafanya uchunguzi ili kujiridhisha kama watu 19 waliokamatwa nchini China na dawa za kulevya ni Watanzania.
Rais chukua hatua, nchi inamalizwa
Watu wengi wameshtushwa na habari kwamba Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) imetumia Sh bilioni tisa kwa ajili ya posho kwa kikao cha wafanyakazi wa Mamlaka hiyo.
Serikali ilipe madeni mifuko ya jamii
Habari mpya
- Mtalii wa Israel afariki katika Hifadhi ya Ngorongoro
- Raia wa China wakamatwa Congo wakiwa na dhahabu yenye thamani ya bilioni 1.9/-
- Polisi waombwa kumkamata rais wa Korea Kusini
- Kongo yawanyonga watu 102
- Watu zaidi ya 100 wauawa kaskazini mwa Syria
- Rais Mwinyi afungua Skuli ya Sekondari Tumbatu
- Rais Samia aipongeza timu ya Simba
- Tanzania mwenyeji mkutano wa nishati wa wakuu wa nchi a Afrika
- Uunganishaji umeme vijijini wafikia asilimia 99.9
- Waandishi wapigwa msasa kuhusu mkutano wa nishati wa wakuu wa nchi Afrika
- Rais Samia na Mwenyekiti wa SADC – Organ ashiriki Mkutano wa Dharura wa Utatu wa Wakuu wa Nchi
- Ulega atoa saa 72 kurejesha mawasiliano daraja Gonja Mpirani
- Urusi yaapa kulipiza kisasi baada ya mashambulizi ya Ukraine
- Mtoto ajinyonga kwa kukosa nguo za sikukuu
- Rais Mstaafu Kikwete apongeza maendeleo Zanzibar