Category: Maoni ya Mhariri
Uamuzi wa kinafiki unaimaliza CCM
Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CC-CCM), mwishoni mwa wiki iliyopita, imetangaza rasmi kumalizika kwa adhabu dhidi ya wanachama wake sita waliodaiwa kufanya kampeni za urais kabla ya wakati. Uamuzi huo wa Kamati Kuu ya chama hicho ulitolewa na Katibu…
Kweli Afrika Kusini wamesahau fadhila?
Moja ya habari zilizochapishwa kwenye gazeti hili katika toleo lililopita ilihusu tamko la Mfalme wa Kwa Zulu Natal, Goodwill Zwelethini, aliyechanganya mambo. Mfalme Zwelethini anatajwa kuwa nyuma ya vurugu zilizotikisa Afrika Kusini wiki kadhaa zilizopita, ambako aliwaambia wananchi, “Wageni…
Tuweke kando Katiba Inayopendekezwa
Tanzania ni kisiwa cha amani. Kauli hii imezungumzwa mara nyingi na kuwabwetesha Watanzania. Nchi kwa sasa ina mtihani mgumu. Kuna mtihani wa Uchaguzi Mkuu, unaopaswa kufanyika Oktoba, mwaka huu na Katiba Inayopendekezwa inayodhaniwa kuwa kura ya maoni itafanyika Julai, mwaka…
Tusipuuze taarifa hizi
Katika moja ya habari zilizochapishwa kwenye gazeti hili ni taarifa za tishio la ugaidi zinazotolewa na moja ya makundi ya kigaidi linalojihusisha ushambuliaji. Wiki mbili zilizopita, magaidi wa al-Shabaab walifanya shambulio kubwa la kigaidi katika Chuo Kikuu cha Garisa, mpakani…
Bunge linaloendeshwa kwa udini ni hatari
Katika gazeti hili la JAMHURI toleo lililopita lilikuwa na habari yenye kichwa “Udini wapasua Bunge” kutokana na hali iliyojitokeza katika kikao cha Bunge siku ya Alhamisi iliyopita, ambako mgawanyiko wa kidini miongoni mwa wabunge ulijitokeza. Siku hiyo wakati akiahirisha…
Wanaowalinda wageni haramu wachukuliwe hatua
Katika gazeti letu la JAMHURI toleo la wiki iliyopita, tulichapisha habari ya uchunguzi iliyokuwa ikimhusu raia wa Pakistan, Ajaz Ahmed, mfanyabiashara haramu ya kuuza binadamu aliyefukuzwa nchini na kurejea tena kwa jeuri akiendelea na biashara hiyo. Ahmed alifukuzwa nchini Oktoba…