Category: Maoni ya Mhariri
Z’bar maliza mzozo ili Magufuli afanye kazi
Miongoni mwa habari zilizochapishwa kwenye gazeti hili zinazungumzia Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad. Katika habari hiyo, Maalim Seif ametajwa sehemu mbili. Kwanza ni namna ambavyo Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kinavyohaha kuweka mambo sawa…
Hongera Dk. John Magufuli
Dk. John Magufuli, wiki hii anaapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anaanza kazi ngumu aliyoiomba kwa ridhaa yake mwenyewe, ya kuwatumikia Watanzania wote. Kwenye kampeni zake, Dk. Magufuli, aliomba kura huku akiahidi kuwa…
Chonde chonde Zanzibar
Mgombea urais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad, jana aliwaita waandishi wa habari na kuwapa takwimu za ushindi anaodai kuupata kwenye Uchaguzi Mkuu. Takwimu hizo zinaonesha kuwa Hamad anaongoza dhidi ya mpinzani wake mkuu, Rais Dk. Ali Mohamed Shein wa…
Amani ya Tanzania haina mbadala
Tanzania, Tanzania, Nakupenda kwa moyo wote, Nchi yangu Tanzania, Jina lako ni tamu sana, Nilalapo nakuota wewe, Niamkapo ni heri mama wee, Tanzania, Tanzania, Nakupenda kwa moyo wote. Tanzania, Tanzania, Ninapokwenda safarini, Kutazama maajabu, Biashara nayo makazi, Sitaweza kusahau mimi,…
Tumuenzi Mwalimu Nyerere kwa Uchaguzi huru, wa amani
Watanzania na walimwengu wiki hii wanafanya kumbukizi ya miaka 16 ya kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Ni muda mrefu tangu alipofariki dunia, lakini bado wapenda amani na maendeleo wanaendelea kumkumbuka na kumuenzi. Kumbukizi ya mwaka huu,…
Amani ya nchi mikononi mwa wahariri na Tume
Wiki iliyopita, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) iliandaa mikutano mbalimbali na wadau wake wakiwamo wamiliki wa vyombo vya habari na wahariri. Katika mikutano hiyo, mengi yamezungumzwa lakini kubwa ni kwa wahariri wa vyombo vya habari nchini kuagizwa kufuata maadili…