Category: Maoni ya Mhariri
Mgogoro wa Z’bar umechusha
Mgogoro wa kisiasa katika Visiwa vya Zanzibar umekuwa na athari kubwa kwa Wazanzibari na Watanzania kwa jumla. Ingawa hatuungi mkono misaada ya masharti, lakini kitendo cha Marekani kuinyima Tanzania msaada kwa sababu ya mgogoro huo, kinapaswa kutuamsha. Tuamke kwa kuhakikisha…
Tanzania isinyamaze mauaji ya Burundi
Taifa jirani la Burundi lipo katika msukosuko mkubwa na wachambuzi wa masuala ya migogoro ya kisiasa wanasema kuna kila dalili kuwa taifa hili sasa litatumbukia katika mauaji ya kimbari. Burundi imeingia katika mgogoro baada ya Rais aliyeko madarakani Pierre Nkurunziza…
Wateule: uwaziri si ulaji, ni kazi tu
Ukurasa wa 12 wa gazeti hili tumechapisha majina ya mawaziri wapya pamoja na wizara watakazoongoza. Pia wamo naibu mawaziri katika wizara kadhaa. Mawazari na naibu mawaziri hao walitangazwa Alhamisi iliyopita. Siku hiyo walitangazwa jumla ya 30 huku wengine Rais Dk….
Miaka 4 ya JAMHURI, asanteni sana Watanzania
Desemba 6, 2015 Gazeti la JAMHURI lilitimiza miaka minne tangu lilipoanzishwa tarehe kama hiyo mwaka 2011. Wahenga walisema penye nia pana njia, na mgaa gaa na upwa hali wali mkavu! Kudumu kwenye soko lenye ushindani mkubwa wa vyombo vya habari…
Polisi hawakutenda haki
Jeshi la Polisi limejipatia sifa kubwa wakati wa kampeni, siku ya upigaji kura na hata wakati wote wa kuhitimishwa kwa shughuli ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015. Kwa mara ya kwanza, Polisi wa Tanzania walionekana weledi, wavumilivu na wenye staha….
Siasa za mauaji zisipewe nafasi
Tumeshitushwa na aina ya kifo cha Alphonce Mawazo – Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Geita. Amekutwa na mauti kwa kile kinachodaiwa kuuawa kinyama kwa kushambuliwa na silaha za jadi ikiwamo kukata kichwa kwa shoka. Baadhi…