Category: Maoni ya Mhariri
Chongolo azitaka TAMISEMI,Wizara kumaliza haraka ujenzi wa stendi Moshi
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Daniel Chongolo ameziagiza Wizara ya Fedha na Wizara ya Tawala za mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI) kukutana kumaliza ujenzi wa stendi ya kisasa ya Ngangamfumini Manispaa ya Moshi. Chongolo ametoa agizo hilo jana…
Mpwapwa watakiwa kusimamia miradi
Na Mwandishi Wewtu,JamhuriMedia Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira, Dkt.Switbert Mkama, ametoa rai kwa wakazi wa Wilaya ya Mpwapwa kusimamia kikamilifu miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika maeneo yao. Ametoa rai hiyo leo Agosti 2,2022, akiwa katika ziara…
Bajeti hii itekelezwe kikamilifu
Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2022/23 imesomwa wiki iliyopita bungeni jijini Dodoma na kwa sasa inajadiliwa kabla ya kupitishwa tayari kwa utekelezaji wake kuanzia Julai Mosi mwaka huu. Kwa kawaida, pamoja na ukweli kwamba kabla ya kusomwa…
Watanzania tuchangamkie fursa mradi wa gesi asilia
Rais Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini Makubaliano ya Awali ya Mkataba wa Nchi Hodhi (HGA) Mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi Asilia (LNG Project). Makubaliano hayo kati ya serikali na kampuni za Shell na Equinor yametiwa saini Juni 11,…
Umaarufu wa Rais uiunganishe Afrika
Ndoto ya miaka mingi ya viongozi waasisi wa Umoja wa Afrika (awali OAU na sasa AU) ya kuliona bara hili likishirikiana katika kila nyanja, si kwamba tu haijatimia, bali pia haionekani kutimia katika miaka 10 au 20 ijayo. Ukweli huu…
Miaka 26 baada ya ajali ya MV Bukoba…
Mwezi kama huu takriban miaka 26 iliyopita Tanzania ilikumbwa na msiba mkubwa wa kihistoria kuwahi kutokea baada ya meli ya abiria iliyokuwa ikitoka Bukoba, Kagera kuelekea Mwanza kupinduka na kuzama kwenye Ziwa Victoria. Ingawa hakuna idadi kamili iliyotolewa, lakini kwa…