Category: Maoni ya Mhariri
Uingereza, Marekani zijitathimini
Wiki iliyopita Taifa la Uingereza limepiga kura ya kujiondoa kwenye Umoja wa Jumuiya ya Ulaya (EU). Hoja zilizotumiwa na wahafidhina kufikia uamuzi huo ni kwamba wageni wengi wanaingia nchini Uingereza na hivyo kuchukua nafasi zao za ajira. Suala jingine wanasema…
Siasa za vyuo vikuu zinaashiria hatari
Tunatambua na kuheshimu haki ya kila Mtanzania ya kushiriki siasa. Siasa katika mfumo wa vyama vingi zina changamoto ambazo Taifa lisipokuwa makini linaweza kujikuta watu wake wakigawanyika. Kinachoendelea sasa katika vyuo vikuu si kitu cha kufumbiwa macho. Mamia kwa maelfu…
Bajeti irekebishwe
Wiki iliyopita, Serikali imewasilisha bajeti yake bungeni. Bajeti hii imetangaza maeneo mengi ya kuboresha uchumi wa nchi hii. Imetangaza uwekezaji mkubwa katika reli, ununuzi wa ndege, ujenzi wa barabara za kisasa, ununuzi wa meli, kuweka mazingira bora ya uwekezaji, upimaji…
Mauaji yanayofanywa si silka ya Watanzania
Watu wachache wasioitakia mema nchi yetu wameanza kuchafua sifa nzuri tuliyojipatia kwa miongo mingi. Mauaji ya albino, vikongwe na ajuza; na sasa haya ya kuchinja watu ndani ya nyumba za ibada na katika makazi, si ya kuvumiliwa hata kidogo. Taarifa…
Rais Magufuli ukoa hifadhi
Hali ya mapori yote ya hifadhi nchini ni mwetu ni mbaya mno. Miaka michache ijayo, Tanzania itakuwa haijivunii hiki inachojivunia sasa, yaani wingi wa rasilimali za mapori, miti na viumbe wanaoishi humo. Kilio hiki cha uhifadhi tumekuwa tukikiwasilisha kila mara…
Rais Magufuli asikwazwe
Juhudi zinafanywa na watu mbalimbali kumkwamisha Rais John Magufuli. Tukio lililoibua gumzo kubwa nchini ni la uhaba wa sukari unaodaiwa kusababishwa na hujuma za baadhi ya wafanyabiashara wakubwa nchini. Tusingependa kuwa sehemu ya mgongano huu, lakini lililo wazi ni kwamba…