Category: Maoni ya Mhariri
Tumetimiza miaka 5
Leo ni siku yenye umuhimu wa pekee kwa Kampuni ya Jamhuri Media Limited, wazalishaji wa Gazeti la JAMHURI. Leo tumetimiza miaka mitano (5) tukiwa sokoni tangu tulipochapisha nakala ya kwanza ya Gazeti la JAMHURI siku ya Desemba 6, mwaka 2011….
Serikali izifuatilie shule binafsi
Habari kuu tuliyoichapisha katika toleo la leo inahusu mgogoro kati ya wazazi na wamiliki wa shule za Al-Muntazir. Shule hizi ambazo ni za awali, msingi na sekondari zinamilikiwa na Khoja Shia Ithnasheri Jamaat ya Dar es Salaam. Shule hizi zimejiwekea…
Tunausubiri uchunguzi malipo hewa Jeshi la Polisi
Kwa zaidi ya miezi miwili sasa kumekuwa na sintofahamu kwa wahasibu raia, wanaohudumu katika vyombo vya ulinzi na usalama. Rais John Magufuli aliagiza waondolewe, ili kuleta maboresho katika utendaji kazi. Tunaamini Rais Magufuli alifikia maamuzi hayo baada ya kuambiwa kwamba…
ATCL karibuni tena angani
Serikali imezindua ndege mbili za Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) zinazotarajia kuanza kufanya safari zake katika mikoa mbalimbali nchini. Ndege hizo aina ya Q400 zimetengenezwa na kampuni ya Bombardier iliyoko nchini Canada. Baada ya jitihada za Serikali katika kuhakikisha…
Bandari kutaneni na wadau kunusuru uchumi
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na minong’ono kuhusu kupungua kwa shehena ya mizigo katika bandari ya Dar es Salaam, hali hiyo imeendelea hata baada ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira kuitembelea bandari mwishoni mwa…
Polisi wakiwa matapeli, wananchi wafanyeje?
Habari iliyochukua uzito wa juu kwenye gazeti hili toleo la leo inahusu vitendo vya utapeli kwenye biashara ya madini. Jambo la kusikitisha ni kusikia kuwa kwenye genge la matapeli hao wamo watumishi wa Serikali, hasa kutoka Jeshi la Polisi. Hizi…