Category: Maoni ya Mhariri
Wenye masikio wamemsikia Trump
Donald Trump ameapishwa kuwa Rais wa 45 wa Marekani. Huyu ni Rais wa taifa lenye nguvu kubwa za kiuchumi na kijeshi kuliko taifa lolote katika sayari hii. Ushindi wa Trump haukutarajiwa na wengi. Maneno yake kabla na wakati wa kampeni…
Hongera polisi Dar kudhibiti mapanga
Wiki iliyopita, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna wa Polisi Simon Sirro, amepiga marufuku uuzaji wa silaha za jadi hadharani. Silaha za jadi zilizozuiwa kuuzwa hadharani ni pamoja na mapanga, pinde, mikuki, manati, majambia na visu….
Rais Magufuli usimwamini kupita kiasi Dk. Mpango
Leo ni wiki ya kwanza ya mwaka 2017. Wiki iliyopita, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, ametoa mwenendo wa hali ya uchumi nchini, akisema Taifa halina mdororo wa uchumi. Ametoa takwimu kuwa kwa sasa uchumi unakua kwa asilimia…
Tuweke vipaumbele 2017
Leo zimesalia siku nne kuhitimisha mwaka 2016. Kwa wazazi wengi wiki hii na ijayo si wiki za furaha sana. Wakati watoto wanafurahi kuongeza umri wa kuishi duniani, wazazi wengi wanajiuliza ada za shule inakuwaje. Mwezi Desemba, 2016 umekuwa tofauti na…
Tusibishanie zika
Wiki iliyopita, baadhi ya vyombo vya habari viliripoti taarifa ya utafiti uliofanywa na Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), kuhusu kuwapo kwa ugonjwa wa zika hapa nchini. Taarifa hiyo ya utafiti wa NIMR, ilitolewa na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu…
Serikali ikate mzizi wa fitna Loliondo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuendelea na ziara yake mkoani Arusha, baada ya kuikatiza kutokana na majukumu mengine ya kitaifa. Mkoa wa Arusha, kama ilivyo mikoa mingine nchini, ina rasilimali muhimu kwa ajili ya uchumi wa Taifa letu. Ukiacha kilimo,…