Category: Maoni ya Mhariri
Tuilinde sera yetu
Siku ya Jumamosi iliyopita imekuwa nzuri kwa wafuatiliaji siasa na sera. Rais John Magufuli ametoa mwelekeo wa mabadiliko ya sera kubwa mbili, moja ikiwa ni Sera ya Mambo ya Nje, na ya pili ikiwa ni ya elimu ya juu. Vyuo…
Serikali idhibiti magenge ya utekaji
Wiki iliyopita habari kubwa kwenye vyombo ya habari ilikuwa ni kutoweka/kutekwa kwa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ibrahim Musa ‘Roma Mkatoliki’ ambaye hata hivyo alipatikana siku ya Jumamosi. Wakati Roma akiwa kusikojulikana na kuzua sintofahamu miongoni mwa wanafamilia yake,…
Rais Magufuli ana hoja
Wiki iliyopita, Rais John Mafuguli alifanya ziara ya ghafla katika Bandari ya Dar es Salaam. Kati ya vitu alivyovikuta ni pamoja na makontena 20 ya mchanga unaopelekwa nje ya nchi kuchenjuliwa. Baadaye idadi ya makontena iliongezeka kufikia 263. Makontena hayo…
Kwaheri Sir George
Wiki iliyopita mmoja wa wapigania uhuru na wanampinduzi wa kweli, Sir George Kahama amefariki dunia. Kifo cha Sir George kimefanya idadi ya waasisi waliokuwa wajumbe wa Baraza la Mawaziri la Kwanza la Tanganyika huru kufikia 10. Jumla walikuwa 11. Kwa…
Tutarajie maskini wengi kumfuata Rais Magufuli
Kitendo cha mama mjane ‘kuvamia’ mkutano na kuwasilisha kilio chake kwa Rais John Magufuli, kinapaswa kuwafumbua macho viongozi na watumishi katika mamlaka za utoaji haki nchini. Si wajibu wetu kuhukumu kutokana na yale yaliyozungumzwa na mjane huyo, lakini itoshe tu…
Turuhusu ushindani mwendokasi
Wiki iliyopita Serikali imezindua Awamu ya Pili ya Mradi wa Mabasi ya Mwendo Kasi ( DART). Awamu hii sasa itakuwa ni ya upanuzi wa Barabara ya Kilwa kwenda Mbagala. Tanzania ni moja kati ya nchi tatu barani Afrika ambazo zina…