Category: Maoni ya Mhariri
Ushauri huu uzingatiwe
Wiki iliyopita wadau mbalimbali nchini pamoja na wengine kutoka jumuiya ya kimataifa walishiriki mdahalo mahususi kuhusu masuala ya biashara nchini. Katika mdahalo huo mengi yalijitokeza yenye lengo la kuboresha ili hatimaye kupata tija zaidi kwa upande wa tasnia ya biashara…
Tunahitaji utulivu mjadala wa bajeti
Alhamisi wiki iliyopita serikali kupitia kwa Waziri wa Fedha iliwasilisha mapendekezo ya bajeti kuu kwa ajili ya mwaka wa fedha 2019/2020. Bajeti hiyo baada ya kuwasilishwa itajadiliwa na wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambao kwa mujibu…
Kero hizi zitatuliwe
Ijumaa iliyopita Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Dk. John Magufuli, alikutana na wafanyabiashara kutoka maeneo mbalimbali ya nchi. Ni wafanyabiashara kutoka mikoa yote nchini. Katika mkutano huo uliofanyika Ikulu ya Magogoni, jijini Dar es Salaam kwa saa zaidi…
Pongezi kwa wananchi kutii mamlaka
Aprili 9, mwaka huu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, alitangaza kwamba kuanzia Juni mosi mwaka huu itakuwa ni marufuku kutengeneza, kuingiza, kuuza na kutumia mifuko ya plastiki kwa ajili ya kubebea bidhaa za aina yoyote na matumizi yake yatakoma ifikapo Mei 31. …
Zoezi la utayari katika afya EAC lipewe uzito
Mwezi ujao, kwa muda wa siku nne, kuanzia tarehe 11 hadi 14, Tanzania itashiriki zoezi la kupima utayari wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika kukabiliana na magonjwa ya mlipuko mipakani. Hali hiyo inatokana na nchi za Ukanda…
Busara itumike TRAWU
Wiki iliyopita Gazeti hili la JAMHURI lilichapisha habari kuhusu kashfa iliyojitokeza wakati wa maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi, kwa mwaka huu yaliyofanyika kitaifa jijini Mbeya. Kashfa hiyo imekikumba Chama cha Wafanyakazi wa Reli Tanzania (TRAWU). Ndani…