JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Maoni ya Mhariri

Diwani sahihisha ya Kipilimba

Wiki iliyopita Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli, amefanya mabadiliko katika Idara ya Usalama wa Taifa (TISS). Amemuondoa Mkurugenzi Mkuu, Modest Kipilimba na kumteua aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Diwani…

Wiki ya huzuni Afrika

Wiki iliyopita yamekuwapo matukio mengi, lakini kwa ngazi ya Bara la Afrika yaliyotawala ni vurugu za xenophobia nchini Afrika Kusini na kifo cha Baba wa Taifa la Zimbabwe, Robert Mugabe. Wageni kadhaa wanaofanya biashara zao nchini Afrika Kusini, hasa katika…

Matrekta ya URSUS yadhibitiwe

Kwa wiki tatu mfululizo tumekuwa tukiandika habari juu ya mkataba wa kununua matrekta na kujenga kiwanda cha kuunganisha matrekta cha URSUS kilichopo wilayani Kibaha. Kiwanda cha kuunganisha matrekta kwa mujibu wa mkataba ilibidi kiwe kimekamilika Juni, mwaka jana. Hadi leo…

Kushangilia wanaotuumiza ni kukosa uzalendo kwa nchi

Hadi tunakwenda mitamboni, ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) ilikuwa ikishikiliwa nchini Afrika Kusini kutokana na amri ya mahakama. Sababu za kukamatwa kwa ndege hiyo bado hazijawekwa bayana, japo kuna maelezo kuwa hatua hiyo imetokana na serikali yetu kudaiwa….

Dhamira ya Mugabe iheshimiwe

Moja ya matukio ya kukumbukwa katika urais wa Robert Mugabe wa Zimbabwe ni lile la Julai mwaka 2017. Katika tukio hilo, Zimbabwe iliyokuwa ikiongozwa na mzee Mugabe iliuza ng’ombe wa thamani ya dola za Marekani milioni moja kwenye mnada na…

SADC ivunje minyororo iliyowekwa na wakoloni

Agosti ya mwaka huu 2019 ni ya kipekee kwa taifa letu. Tumepokea wageni wengi wanaohudhuria Mkutano wa 39 wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC). Fursa za aina hii hujitokeza mara chache, kwa hiyo kila Mtanzania…