JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Maoni ya Mhariri

Tujiandae kugharamia bajeti yetu kutoka ndani

Wiki iliyopita Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Phillip Mpango, aliwasilisha kwa wabunge mapendekezo ya serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na kiwango cha ukomo wa bajeti ya serikali kwa mwaka 2020/21. Katika wasilisho lake, Dk. Mpango alieleza kuwa kwa mwaka ujao…

Wananchi ndilo jeshi muhimu mapambano ya corona

Moja ya mijadala iliyotawala kwenye mitandao ya kijamii wiki iliyopita ni hatua ya Rais Dk. John Magufuli kuwaalika Ikulu baadhi ya viongozi wa upinzani na kufanya nao mazungumzo.  Ukiacha mazungumzo hayo, mvuto pia ulikuwa katika picha za video zilizosambazwa na…

Kilwa hawakujenga mabondeni, wasaidiwe

Zimepita wiki kadhaa sasa tangu ziwepo taarifa za mafuriko makubwa kuvikumba baadhi ya vijiji katika Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi. Ukiacha watu 14 ambao waliripotiwa kufariki dunia, watu wengine zaidi ya 15,000 waliathiriwa na mafuriko hayo. Mkuu wa Mkoa wa…

Utumishi wa umma usigeuzwe adhabu

Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma (TAMISEMI), imetangaza kuzuia safari za watumishi wa umma katika ofisi za mikoa, wilaya na mamlaka za Serikali za Mitaa kusafiri nje ya vituo vyao vya kazi. Sababu kuu iliyotolewa na Ofisi ya…

Nini kimeikumba Stamico?

Wakati ikielezwa kuwa madini ni moja ya sekta ambazo zimewezesha kupatikana kwa mapinduzi ya uchumi nchini, taasisi muhimu inayoshughulikia sekta hiyo, Shirika la Madini la Taifa (Stamico) inaelezwa kuwa liko hoi kifedha. Wakati Benki Kuu (BoT) ikieleza kupitia ripoti yake…

Kunahitajika mfumo mpya kudhibiti manabii, mitume

Tumeuanza mwaka kwa bahati mbaya. Watanzania zaidi ya 40 wamefariki dunia katika matukio mawili makubwa. Tukio la kwanza ni la vifo vya Watanzania 20 mkoani Lindi vilivyosababishwa na mafuriko. Tukio la pili ni la vifo vya Watanzania wengine kwa idadi…