Category: Maoni ya Mhariri
TRA huu ndio ukusanyaji kodi
Juni 5, 2021 Msemaji Mkuu wa Serikali, Geryson Msigwa, ametoa taarifa ya mwenendo wa kazi za serikali, utekelezaji wa ahadi zake na eneo muhimu la ukusanyaji mapato. Msigwa ameonyesha kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeendelea kuongeza makusanyo hata baada…
Katika hili Mtaka asiachwe peke yake
Mwanzoni mwa mwaka huu Tanzania imejikuta ikikumbwa na uhaba wa mafuta ya kula licha ya ukweli kwamba nchi hii imebarikiwa kuwa na ardhi nzuri yenye rutuba na maliasili za kila aina. Ni ukweli wa kutia aibu kwamba kwa miaka mingi…
Sekta binafsi ipitie upya tozo
Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na kauli kuwa Tanzania ni ghali sana katika Sekta ya Utalii kwa maana ya gharama anazotumia mtalii kuanzia safari ya anakotoka hadi gharama atakazotumia awapo nchini. Kwanza, ieleweke kuwa gharama hizi zitumiwazo na watalii zimegawanyika…
Wananchi tuchukue hadhari, COVID-19 bado tunayo
Ugonjwa wa COVID-19 ulioanzia nchini China mapema mwaka jana na kusambaa duniani kote, unaendelea kugharimu maisha ya walimwengu wengi. Tanzania, kama yalivyo mataifa mengine ya Afrika na dunia, imeshaonja machungu ya uwepo wa maradhi haya hatari. Mwaka jana shule na…
Ripoti ya CAG, nafasi ya uwajibikaji kwa Serikali
Wiki iliyopita Rais Dk. John Magufuli akiwa Ikulu ya Chamwino, Dodoma, alipokea Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa mwaka unaoishia Juni 30, 2019 kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mujibu wa sheria…
Dar es Salaam ikiweza, Tanzania imeweza
Wiki iliyopita itabaki katika kumbukumbu miongoni mwa Watanzania wengi wa kizazi hiki kutokana na tishio la ugonjwa wa COVID-19 unaotokana na virusi vya corona kusababisha matamko na maelekezo kadhaa kutoka serikalini. Kwa mara ya kwanza katika miaka ya karibuni Tanzania…