Category: Siasa
Serikali ilipe madeni mifuko ya jamii
Tuwe makini kuelimisha wananchi Katiba Mpya
Tayari Bunge Maalumu la Katiba limepitisha rasimu ya Katiba inayopendekezwa.
Rasimu hiyo iko tayari kwa ajili ya kupelekwa kwa wananchi kupigiwa kura baada ya kupata akidi ya theluthi mbili iliyotakiwa kisheria kwa upande wa Tanzania Bara na Visiwani.
Wanaoiponda UDA wamekosa uzalendo
Tumetafakari kwa kina juu ya taarifa zinazolaumu “Serikali kubariki ufisadi wa UDA.” Lawama hizo hutolewa na Watanzania wachache sana wanaopinga Kampuni ya wazawa ya Simon Group kuuziwa hisa za UDA.
Hoja za msingi malalamiko hayo ni kwamba Simon Group haikufuata taratibu na sheria, na pia kwamba haikuzingatia thamani halisi ya shirika hilo. Tunachofahamu sisi kwa sasa ni kwamba uuzwaji huo uko sahihi na hakuna kinachoweza kubadilika, kwani taratibu na sheria zote zilizingatiwa kikamilifu wakati wa uuzaji wa hisa za UDA kwa Simon Group.
Ahsante TMF, Kazi ipo kwetu
Miongoni mwa habari zilizopamba gazeti hili leo ni taarifa ya Mfuko wa Vyombo vya Habari nchini (TMF), kutoa ruzuku ya Sh. bilioni 1.7 kwa vyombo vya habari 16.Awali ya yote tunaupongeza mfuko huo kwa namna inavyoratibu shughuli zake na…
UKAWA mwaweza kuchagua vita, amani
Kwa muda wa miaka mitatu nchi yetu imeshuhudia mnyukano wa mchakato wa kupata Katiba mpya. Mnyukano huu ulianza rasmi mwaka 2011 Rais Jakaya Kikwete alipotangaza kuandikwa kwa Katiba mpya. Tangazo la Rais Kikwete lilianzisha mchakato wa kutungwa kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, ambayo hatimaye imelifikisha taifa katika kupata rasimu.
Polisi iwadhibiti panya road
Wiki iliyopita kundi la vijana zaidi ya 20 linalojiita panya road, mbwa mwitu na mtoto wa mbwa, liliibuka upya na kuvamia, kupora mali na kushambulia watu kwa kutumia silaha za jadi zikiwamo panga jijini Dar es Salaam.
Habari mpya
- RITA yabaini wizi wa mali ya bilioni mbili msikiti wa Manyema
- CBE kuadhimisha miaka 60 ya kuanzishwa kwake
- Kwaya ya watoto Westminster yatoa msaada Muhimbili
- Askari walioonekana wakichukua rushwa barabarani wakamatwa Dar
- Korea Kaskazini yafyatua makombora ya majaribio
- Msichana wa kazi, mganga wa kienyeji waiba watoto wawili Dar
- Korti ya Kijeshi Uganda kumshtaki Besigye kwa usaliti
- Rais Samia ateua viongozi mbalimbali
- Trump kubadili sura ya dunia kuanzia Jumatatu
- Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol aliyefutwa kazi akamatwa
- Jeshi la Ukraine lafanya shambulizi kubwa zaidi Urusi
- Tanzania, Japan zajidhatiti kusaidia wakulima nchini
- Dk Kazungu ateta na balozi wa Tanzania Abu Dhabi
- Tanzania iko tayari kwa mashindano ya CHAN na AFCON
- Rais Samia mgeni rasmi maadhimisho ya Siku ya Sheria