Category: Michezo
SIMBA SC KAZINI TENA LEO KUUMANA NA MWADUI FC
Timu ya Simba leo inashuka dimbani kwenye mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara kuumana na Mwadui Fc kwenye uwanja wa CCM Kambarage, Shinyanga. Simba ndio vinara wa ligi hiyo baada ya kujikusanyia point 41 ikiwa imecheza michezo 17, huku mwadi…
Usajili wachezaji wa kigeni uzingatie vigezo
NA MICHAEL SARUNGI Usajili wa wachezaji wa kigeni usiozingatia vigezo vinavyotakiwa umesababisha klabu nyingi zinazocheza Ligi ya Vodacom Tanzania Bara kujikuta zikisajili wachezaji wasiokuwa na viwango na kusababisha kukosa nafasi za kucheza na kuishia kukaa benchi. Wakizungumza na JAMHURI kwa…
Mauricio asema Kane ni ‘jembe’ la Spurs
Ushindi wa goli moja la Tottenham dhidi ya Arsenal wiki iliyopita, linamshawishi Meneja wa timu hiyo, Mauricio Pochettino kumtaja mfungaji wake, Harry Kane kuwa ni ‘jembe’ la sasa na baadaye kwa timu hiyo. Akitumia urefu wake, Kane aliiwezesha timu yake…
MWAKYEMBE: KWA SIMBA HII, SASA TANZANIA TUNAELEKEA KUWA KICHWA CHA MUUNGWANA, NA SI CHA MWENDAWAZIMU
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe ameeleza kufurahishwa na mchezo wa Kombe la Shirikisho Africa kati ya Simba SC na Gendarmerie ya nchini D’jbout ambapo Simba iliibuka kidedea kwa kuichapa timu hiyo mabao 4…
MZEE AKILIMALI ALITOLEA UVIVU BENCHI LA YANGA SC, CHIRWA KUKOSA PENATI MFULULIZO
KATIBU wa Baraza la Wazee wa Yanga, Mzee Ibrahim Akilimali, amelitaka benchi la ufundi la timu hiyo linaloongozwa na Mzambia, George Lwandamina, kuhakikisha wanatafuta mbadala wa mchezaji atakayekuwa anapiga penalti badala ya Mzambia, Obrey Chirwa. Mzee Akilimali ameyasema hayo kufuatia…
MAN UNITED YAPIGWA, LIVERPOOL YATAKATA EPL
Klabu ya soka ya Manchester United jana imekubali kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa klabu ya Newcastle United. Bao pekee katika mchezo huo wa ligi kuu ya soka nchini England uliomalizika jana jioni kwenye uwanja wa Saint James Park limefungwa…