Category: Michezo
ARSENAL YAITANDIKA AC MILAN 2-0 UGENINI
Arsenal jana usiku imeifunga Ac Millan mabao 2-0 kwenye mashindano ya kombe la Euopa Leaue hatua ya 16 bora ugenini kwenye Uwanja wa Giuseppe Meazza Mjini Milani. Mabao ya Arsenal yalifungwa na Henrikh Mkhitaryan kwenye dakika ya 15 na bao…
Zifahamu taratibu Kombe la Dunia Urusi
MOSCOW, URUSI Michuano ya Kombe la Dunia inayotarajiwa kufanyika nchini Urusi kuanzia Juni hadi Julai mwaka huu, ni tofauti na michuano mingine ya miaka iliyopita kwa sababu ya sheria za nchi hii ambazo ni tofauti na nyingine. Kanuni na sheria…
YANGA YAPOKEA KIPIGO CHA 1-2 TAIFA, DHIDI TOWNSHIP ROLLERS YA BOTSWANA
Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga dhidi ya Township Rollers ya Botswana, umemalizika katika Uwanja wa Taifa kwa wenyeji kupoteza kwa jumla ya mabao 2-1. Katika dakika 45 za kipindi cha kwanza, Township Rollers ndiyo waliokuwa wa…
MANCHESTER UNITED YAIADHIBU CRYSTAL PALCE KWA MBINDE
Manchester United imerudi kwenye nafasi yake ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu Uingereza baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Crystal Palace. Mchezo huo ambao ulikuwa na matokeo hasi kwa Manchester United katika kipindi cha kwanza,…
Hakuna Wakuwazuia Tena Manchester City Kubeba Kombe
Klabu ya Manchester city jana Jumapili wakiwa uwanja wao wa nyumbani wa Etihad walifanikiwa kuchomoza na ushidi wa bao 1-0 dhidi ya Chelsea bao lilifungwa na Bernardo Silva Dakika ya 46 kipindi cha pili cha mchezo. Ushindi huo Manchester City…
Kenya Yaipoteza Vibaya Tanzania Kili Marathon 2018
Leo Jumapili Machi, 4 2018 yamefanyika mashindano ya riadha mkoani Kilimanjaro ambayo ni maarufu kwa Kili Marathon ambayo hufanyika kila mwaka. Mashindano haya hushirikisha watu kutoka mataifa mbalimbali, ambapo wale wote ambao hufanya vizuri hupewa zawadi, wakati wengine hupewa medali…