Category: Michezo
Deogratius Munishi ‘Dida’: Sina Mpango Kurudi Kucheza Soka Bongo
KIPA wa zamani wa Yanga, Deogratius Munishi ‘Dida’, ameweka wazi kuwa hana mpango wa kurejea kucheza tena nchini katika timu yoyote ya Ligi Kuu Bara ikiwemo Yanga kwa kuwa anataka kufika mbali zaidi katika upande wa soka la kulipwa. Dida…
Yanga Yapania Kushinda Mechi zote Zilizobakia
Baada ya kusalimu amri kwa kuipa nafasi Simba ya kuutwaa ubingwa wa ligi msimu huu, Yanga wamesema watapambana kushinda mechi zote zilizosalia. Kupitia kwa Afisa wa Habari wa Yanga, Dismas Ten, ameeleza kuwa Yanga inahitaji heshima ya kushinda mechi zote…
SIMBA SC KAZINI LEO KUUMANA LIPULI FC
Kikosi cha Simba kinashuka dimbani Uwanja wa Samora mjini Iringa kikiwa mgeni dhidi ya Lipuli. Simba itakuwa inacheza bila kiungo wake Jonas Mkude ambaye atakosekana kutokana na kutumikia adhabu ya kadi tatu za njano. Mkude atalazimika kusubiri mechi dhidi ya…
YANGA SC KUWA KWENYE KUNDI GANI? ITAJULIKANA LEO
Droo ya upangaji wa timu zitakazokutana hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika inatarajia kufanyika Jumamosi ya leo Aprili 21 2018. Jumla ya timu 16 zimeshatinga kuingia hatua hiyo baada ya michezo 16 kupigwa ndani ya wiki hii. Yanga…
YANGA WAPO FITI KUWATUPA NJE YA MASHINDANO WAITHIOPIA LEO
Mmoja wa viongozi wa Yanga nchini Ethiopia, Hamad Islam, amesema kwamba; “Wachezaji wanafanya mazoezi mara mbili kwa siku na tuko tayari kwa mchezo. Hali ya hewa ni nzuri siyo baridi kali sana, inafanana na ya Dar ilivyo kwa sasa, mechi…
John Bocco: Lipuli Kaeni Chonjo Jumamosi
John Bocco, amesema Lipuli ijiandae kupokea kipigo kwa kuwa lengo lao kubwa ni kupata ubingwa. Mchezaji huyo ambaye jana alifunga bao la kwanza wakati Simba ikiifungaTanzania Prisons Uwanja wa Taifa, amesema mechi na Lipuli si ya kubeza lakini sisi tupo…