Category: Michezo
Msimbazi ni majonzi
Wanachama na wapenzi wa Klabu ya Soka ya Simba ya Dar es Salaam, pamoja na wapenzi wa soka ndani na nje ya nchi wako kwenye majonzi makubwa baada ya kutekwa kwa mfadhili na mwekezaji mkuu wa klabu hiyo, Mohammed Dewji…
Taifa Star Yapania Kuwatandika Cape Verde
Ndoto za kucheza fainali za mwakani za michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) zitakazofanyika Cameroon zinaweza kutimia iwapo tutapata ushindi leo ugenini dhidi ya Visiwa vya Cape Verde. Wachezaji wa Taifa Stars wanapaswa wajue kuwa wana jukumu zito…
Mourinho, mwisho wa enzi!
NA MWANDISHI WETU Alexis Sanchez anaweza kuwa ameokoa kibarua cha Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho, kufukuzwa mapema wiki hii baada ya kuwafunga Newcastle United 3-2 mwishoni mwa wiki. Endapo Jose Mourinho ‘The Special One’ atafungashiwa virago, Meneja wa Tottenham, raia…
Mkenya Kipruto ashinda mbio za mita 3000 baada ya kupoteza kiatu
Mwanariadha wa Kenyan Conseslus Kipruto alikaidi pigo la kupoiteza kiatu mapema ili kuibuka mshindi wa mbio za mita 3000 kuruka viunzi na maji katika ligi ya almasi ya IAAF Diamond League mjini Zurich, nchini Switzerland. Baada ya kupiga kona moja…
Malcom akamilisha uhamisho wa £36.5m kutoka Bordeaux kuelekea Barcelona
Winga wa Brazil Malcom amekamilisha uhamisho wa kitita cha £36.5m kwa kujiunga na Barcelona kutoka Bordeaux. Mkataba huo ulitangazwa mara ya kwanza siku ya Jumanne baada ya mabingwa hao wa Uhispania kuwashinda Roma katika kupata saini ya mchezaji huyo mwenye…
Kenya kuandaa riadha ya vijana wasiozidi miaka 20 mwaka 2020
Bodi ya shirikisho la riadha duniani , IAAF imeuchagua mji mkuu wa Kenya, Nairobi kuwa mwenyeji wa mashindano ya riadha ya ulimwengu ya vijana wenye chini ya umri wa miaka 20 yatakayoandaliwa mwaka 2020. Uamuzi huo wa kuchagua mji huo…