JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

‘Bravo’ Simba SC

Haikuwa rahisi kwa timu ya Simba SC kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika. Ni safari ya milima na mabonde lakini hatimaye Simba wamevuka na kuingia katika hatua ya robo fainali, na haikuwa safari ya usiku…

Hesabu kali zapigwa Kombe la FA

Asikwambie mtu, hakuna timu isiyopenda kuitwa timu ya kimataifa, miaka ya hivi karibuni msemaji wa zamani wa Yanga, Jerry Muro, alikuwa akijigamba kuwa timu hiyo ni ya kimataifa kwa sababu wanapanda ndege na wanashindana na timu za nje ya Tanzania….

Manchester United kufanya maajabu?

Kipute cha Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA) wiki hii kinaendelea na leo kutakuwa na mchezo mmoja, miamba ya Hispania, Real Madrid, ikikaribishwa na timu ya Ajax katika mchezo wa marudio utakaofanyika Uwanja wa Johan Cruijjf nchini Uholanzi. Katika mchezo huo…

Simba inakula ‘viporo’

Wiki iliyopita timu ya Simba imeendelea kula viporo vyake vema katika mechi zake baada ya kuilaza timu ya Azam kwa magoli 3-1 katika Uwanja wa Taifa. Simba ilipata magoli hayo kupitia kwa Meddie Kagere aliyefunga magoli mawili huku jingine likifungwa…

Sarri bado ‘yupo yupo’

Mashabiki na wapenzi wa Chelsea wanashindwa kumuelewa Kocha wa timu yao, Mtaliano Maurizio Sarri (Garimoshi), kutokana na timu hiyo kushindwa kufanya vizuri katika mechi zake za hivi karibuni. Chelsea imeanza kusuasua katika mzunguko huu wa pili wa ligi katika mechi…

Yanga yaweka ubingwa rehani

Na Khalif Mwenyeheri Yanga imeshindwa kupata matokeo mazuri katika mechi zake za hivi karibuni na kuifanya timu hiyo kupunguza nafasi ya kubeba ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL), hali hiyo inawafanya Yanga kuwa na kazi kubwa ya kufukuzia ubingwa. Katika…