Category: Michezo
Bodi ya Ligi gumzo
Hali ya soka nchini hususan mwenendo wa michezo ya ligi kuu si ya kuridhisha. Kumekuwa na lawama kutoka kwa wadau wa soka zinazoelekezwa kwa waamuzi wa mechi mbalimbali, lakini kwa upande mwingine, vilevile kumekuwa na malalamiko dhidi ya Bodi ya…
Serengeti Boys, tunawategemea
Haikuwa kazi rahisi kwa Serengeti Boys kutawala mchezo kwa kiwango cha asilimia 58 dhidi ya asilimia 42 ya wapinzani wao, Nigeria, katika mechi ya ufunguzi wa Michuano ya Fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana wenye umri wa chini ya…
Tambo zaanza kuelekea Afcon
Kocha wa timu ya soka ya taifa ya Uganda, Sebastien Desabre, amesema timu ya taifa ya soka ya Zimbabwe ina nafasi finyu katika kundi ‘A’ kwenye michuano ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) baadaye mwezi Juni, mwaka…
Simba SC ni ‘half time’
Dakika 90 kati ya 180 za mchezo wa robo fainali ya Kombe la Klabu Bingwa barani Afrika baina ya Simba SC na TP Mazembe zimekamilika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwa miamba hao kutoka suluhu. Klabu ya…
Yanga kutetema mbele ya Lipuli?
Timu ya Yanga imeendelea kugawa dozi kwenye Kombe la FA, baada ya kufuzu kuingia katika hatua ya nusu fainali, baada ya kuwatupa nje ya michuano hiyo timu ya Alliance kwa jumla ya penalti 4-3 katika dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza,…
Babu Miura bado anakiwasha
Ng’ombe hazeeki maini, Waswahili ndivyo wanavyosema. Kazuyoshi Miura, ndiye anayetajwa kuwa mchezaji wa soka mwenye umri mkubwa zaidi duniani. Inaelezwa kuwa licha ya kuwa na umri wa miaka 52, bado anasakata kabumbu katika timu ya Yokohama inayoshiriki Ligi Kuu nchini…