Category: Michezo
Ligi Kuu hekaheka
Hadi hivi sasa tunaweza kusema timu ya Simba SC, Yanga SC, Azam, KMC, Lipuli na timu ya Mtibwa Sugar zimefanikiwa kujitengenezea ‘dunia’ ya peke yao katika Ligi Kuu Tanzania Bara, licha ya ligi hiyo kubakiza mechi chache kabla ya kufikia…
Wapinzani wa Messi dhidi ya Simba SC
Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya SportPesa imezidi kuinogesha Tanzania katika ulimwengu wa soka kiasi cha kuongeza ushindani miongoni mwa timu kubwa hapa nchini. Hii ni kampuni ya michezo ya kubahatisha ambayo imepata kutoa udhamini kwa timu kadhaa hapa nchini,…
Hapatoshi Wydad vs Esperance
Hatimaye timu ya Esperance de Tunis ya Tunisia na Wydad Casablanca ya Morocco zimefanikiwa kufuzu katika hatua ya fainali ya Klabu Bingwa barani Afrika (CAF Champions League). Esperance wameingia fainali baada ya kuwafunga TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya…
Rekodi za kutisha UEFA
Leo ni leo katika historia ya mashindano ya Klabu Bingwa barani Ulaya (UEFA Champions League), ambapo hakuna historia isipokuwa rekodi maridhawa, wakati Tottenham Hotspurs ya Uingereza ikipambana na Ajax ya Uholanzi, huku kesho mabingwa wenye historia zinazofanana wakimenyama katika dimba…
Bodi ya Ligi gumzo
Hali ya soka nchini hususan mwenendo wa michezo ya ligi kuu si ya kuridhisha. Kumekuwa na lawama kutoka kwa wadau wa soka zinazoelekezwa kwa waamuzi wa mechi mbalimbali, lakini kwa upande mwingine, vilevile kumekuwa na malalamiko dhidi ya Bodi ya…
Serengeti Boys, tunawategemea
Haikuwa kazi rahisi kwa Serengeti Boys kutawala mchezo kwa kiwango cha asilimia 58 dhidi ya asilimia 42 ya wapinzani wao, Nigeria, katika mechi ya ufunguzi wa Michuano ya Fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana wenye umri wa chini ya…