Category: Michezo
Barnaba ni almasi iliyong’arishwa THT (3)
Wiki iliyopita makala hii iliishia pale ambapo Barnaba Classic anasimulia jinsi alivyokutana na Ruge Mutahaba Tanzania House of Talents (THT) alipokwenda kufanyiwa majaribio ya kufuzu kuingia katika jumba la kukuza vipaji. Barnaba ni mmoja wa wasanii wachache wanaopenda kuongea huku wakicheka hasa pale…
Wachezaji Stars lazima mjiongeze
Kinachoendelea katika Jiji la New York au Moscow ndani ya dakika hii, kinaweza kujulikana duniani kote ndani ya saa moja. Teknolojia imerahisisha sana maisha na katika sehemu nyingine za ulimwengu huu, watu wengi wanajikuta wakikosa ajira kwa sababu kazi zao…
Wanaotusifu, wanatuua
Miaka kadhaa iliyopita Simba ilifungwa na Enyimba magoli 3-1 katika Uwanja wa Uhuru. Simba ilizidiwa sana na timu hiyo kutoka Nigeria. Kwenye ufundi pamoja na stamina wachezaji wa Enyimba walikuwa wako imara kuwazidi wachezaji wa Simba. Baada ya mechi kumalizika,…
Tuwekeze, tushindane CAF
Mabingwa wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika huingiza kwenye akaunti zaidi ya dola milioni 1.5. Si fedha chache, na ni chanzo cha mtaji wa timu nyingi zinazobeba taji hilo. Klabu kama TP Mazembe inawalipa mshahara wachezaji kutoka mataifa mengi ya…
Samatta kuweka historia UEFA
Pazia la Ligi ya Mabingwa barani Ulaya (UEFA) linafunguliwa rasmi leo kwa msimu wa 2019/2020 ambapo timu 16 zitakuwa uwanjani zikipepetana na nyingine idadi sawa na hiyo zitapambana kesho katika hatua ya kwanza ya kutafuta bingwa. Katika Ligi ya Mabingwa…
Mitego kwa makocha wageni 2019/2020
Msimu mpya wa Ligi Kuu Bara umeanza hivi karibuni kwenye viwanja mbalimbali huku ukiwa na mvuto wa aina yake. Ndiyo msimu wa mwisho wenye timu 20, kwani kwa mujibu wa waandaaji, kuanzia msimu ujao timu hizo zitapungua kwa matakwa ya wadhamini….