Category: Michezo
Tunahitaji nini kutoka kwa Samatta?
Mbwana Samatta ndiye staa wa Tanzania kwenye soka. Ndiye mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania. Hili halina ubishi. Kama unataka kupinga hili, unaruhusiwa. Hakuna ubishi kwamba kwenye kikosi cha Taifa Stars, Samatta ndiye mchezaji aliyepiga hatua zaidi. Ndiye mchezaji aliyefanikiwa…
Wachezaji Stars mjiongeze
Leo Taifa Stars itakuwa Stade Mustapha Ben Jannet uliopo mjini Monastir, Tunisia, kuivaa Libya katika mchezo wa kufuzu kuwania kushiriki fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika. Huu ni mchezo wa pili, katika mchezo wa awali dhidi ya Equatorial Guinea…
Ya TFF hadi kwa Zahera
Kim Poulsen aliondolewa kazini bila kuwapo sababu zenye kuingia akilini. Alikuwa na mipango ya kuleta mabadiliko ya uchezaji wa Taifa Stars ndani ya kipindi cha miaka mitano. Waliomuondoa hawakulifahamu suala hilo, ingawa ni jambo muhimu lenye kutakiwa kupewa kipaumbele. Ufundishaji…
Mwanzo wa mwisho wa Zahera Yanga?
Mashabiki wa soka wa Tanzania ni wasahaulifu sana. Ukiwasikiliza mashabiki wa Yanga leo, unaweza usiamini kile wanachokidai. Msimu uliopita tu mashabiki hao walikuwa wakimhusudu Kocha wao, Mwinyi Zahera, ambaye licha ya kufundisha kikosi cha mabingwa hao wa kihistoria wa Ligi…
Mkuranga African yaibuka kidedea ligi ya wilaya
Timu ya Mkuranga African maarufu kama Apollo imeibuka kidedea katika mashindano maalumu ya kutafuta timu itakayoshiriki Ligi Daraja la Nne ngazi ya wilaya. Apollo ilifanikiwa kupata nafasi hiyo baada ya kuinyuka Mwalu City 1-0 katika mchezo wa fainali uliopigwa katika…
Yanga itazidi kudumaa
Unatazama taarifa za habari za michezo za Ulaya, unasoma juu ya uwekezaji mkubwa unaofanywa na matajiri wa Urusi na Uarabuni. Siku moja ya uhai wako inapita ukiwa na afya njema, kesho asubuhi unatazama tena runinga na kukutana na habari ya…