Category: Michezo
Wizara ya Michezo yaikabidhi siku 120 Suma JKT kukamilisha viwanja vya michezo
Na Lookman Miraji Wizara ya michezo imesaini mkataba na kampuni ya ujenzi ya Suma JKT juu ukarabati wa viwanja vya michezo nchini. Mkataba huo umesainiwa leo hii huko ikihusisha ukarabati ya viwanja vya michezo ambavyo vitatumika katika mashindano yajayo ya…
Vijana Queens yafutiwa matokeo
Timu ya wanawake ya Vijana Queens iliyokuwa inashiriki Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam imefutiwa matokeo ya mchezo wake wa nusu fainali namba 504 ilipocheza dhidi ya JKT Stars. Taarifa ya Kamati ya Ufundi na Mashindano ya Chama…
Mwakinyo atamba kumpasua ‘Kiduku’
Bondia Hassan Mwakinyo ametangaza ujio wa pambano lake Novemba 16, mwaka huu la kutetea mkanda wa Afrika wa WBO huku akitamba kuwa yuko tayari kumlaza mtoto wa mtu chini. Mwakinyo licha ya kutangaza ujio huo hajaweka hadharani mpinzani wake lakini akionekana…
Injinia Hersi anyakua tuzo Afrika
Rais wa Timu ya mpira wa miguu, Young Africans SC na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika, Eng. Hersi Ally Said ameshinda Tuzo ya mwanamichezo mwenye mchango katika maendeleo ya mpira wa miguu Barani Afrika katika tuzo za Nigeria-France Sports…
RC Manyara ataka michezo kutumika kukuza Uhifadhi na Utalii
Na Mussa Juma, JamhuriMedia, Babati Mkuu wa Mkoa Manyara, Qeen Sendika ametaka sekta ya michezo mkoa Manyara kuendelea kutumika katika kukuza Utalii na uhifadhi wa mazingira na wanyamapori. Sendeka alitoa agizo hilo katika fainali ya michuano ya Chemchem CUP 2024…
Jeshi la Polisi latoa tahadhari kuelekea mechi ya Simba na Yanga
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia,Dar es Salaam Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema litachukua tahadhari zote za kiusalama kabla, wakati na baada ya mchezo Usalama utakuwa wa kiwango cha juu siku ya mchezo wa mpira wa miguu kati…