Category: Michezo
Liverpool wapewe kombe EPL?
Historia ya Ligi Kuu Uingereza (EPL) inaonyesha kuwa kwa kawaida timu ambayo inakuwa imeshika nafasi ya juu inapofika katikati ya msimu, aghalabu huwa kipindi cha Krismasi na Mwaka Mpya, hiyo ndiyo huwa bingwa mwisho wa msimu. Unaposoma hapa, Liverpool, ambayo…
Tuanze kuuza wachezaji nje
Mwaka 2016 wakati tunakwenda kuivaa Nigeria, wachezaji wa Tanzania wanaocheza nje karibu wote waliitwa kuja kulikabili jeshi hilo linalotamba katika soka Afrika. Ila kilichotokea ilikuwa aibu. Wengine walikuwa hawajulikani, hata TFF hawawajui. Tukaanza kuulizana kama huyu kweli ni wa kwetu…
Eti hawavijui hata viwanja vyao!
NA CHARLES MATESO Wakati Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Pombe Magufuli, alipotoa agizo kwa wasaidizi wake nchi nzima kuhusu kuorodhesha mali zote za chama hicho, nikakumbuka uwepo wa viwanja vingi vilivyochakaa. Kauli ya Magufuli kutaka kuorodhesha mali sahihi ni…
Sifa za kijinga
Simba, Yanga lazima zibadilike Na Charles Mateso CECAFA Senior Challenge Cup ya mwaka huu imekuja na maneno mazuri sana kutoka kwa wadau wa soka wa Kenya. Wameamua kutuambia ukweli baada ya miaka kadhaa ya Tanzania kuhangaika na wachezaji kutoka Kenya…
Huku Simba, kule Chalenji, tutampata mkali wetu?
NA CHARLES MATESO Bilionea wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ bado ana kazi kubwa pamoja na ‘sifa’ nyingi za kuwekeza katika uwanja wa Simba Complex, uliopo Bunju, Dar es Salaam. Utazalisha nini? Hilo ndilo swali la msingi la kujiuliza. Una vigezo…
Busara ya Nyerere ifanye kazi Simba
Fedha si msingi wa maendeleo! Haya ni maneno yaliyowahi kutamkwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Yalisemwa miaka mingi kabla dunia haijautambua utandawazi. Tunayaona ndani ya Simba inayotaka kumtimua Patrick Aussems. Mwalimu Nyerere alimaanisha kwamba fedha ni matokeo…