JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

MO alitikisa kiberiti au alitikiswa?

Maswali yasiyo na majibu! Wakati Simba inalikosa Kombe la Mapinduzi, kukazuka taarifa kwamba Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Mohammed Dewji ‘MO’, ameamua kubwaga manyanga. Si kuondoka ndani ya Simba, bali ni kujiondoa katika nafasi ya mwenyekiti na kubaki kama…

Samatta asiandike tu historia

Mpaka utakapokuwa unasoma makala hii kuna uwezekano mkubwa kuwa Mbwana Samatta atakuwa tayari amekwisha kuwa mchezaji rasmi wa Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu nchini Uingereza (EPL). Anakuwa mmoja wa wachezaji ambao wamenufaika na dirisha dogo la usajili katika Bara la…

Ni wakati wa Wanyama kuondoka Tottenham

Victor Wanyama ni mmoja wa wachezaji ambao walitikisa sana katika soka kiasi cha timu kubwa kama Totttenham kumchukua katika kikosi chake, lakini leo hii Wanyama anakosa hata nafasi ya kukaa benchi pale Tottenham.  Huu ni wakati muafaka kwake kuondoka na…

Simba, Yanga hazishangazi

Ukiona Simba wanachukua wachezaji wengi kutoka Afrika Magharibi, Yanga nao watakwenda huko. Ukiona pia Yanga wanachukua kocha kutoka Ulaya Mashariki, Simba nao watakimbilia huko. Bahati mbaya zaidi Azam FC nao wameingia katika mkumbo wa kufuata siasa za Simba na Yanga. …

Rooney afunguka alivyoumizwa na kamari

Mwanasoka mahiri aliyewahi kukipiga kwa mafanikio Manchester United chini ya Kocha Alex Ferguson, Wayne Rooney, amekiri hadharani kuwa kamari ni moja ya mambo yaliyoathiri kiwango chake uwanjani kwa kiasi kikubwa. Rooney, ambaye wakati fulani alikuwa nahodha wa timu ya taifa…

Simba, Yanga funzo tosha

Nani anataka matokeo mabovu? Kuna uwekezaji mkubwa, huku wachezaji wakipewa kila kitu, halafu unakuja kutoa sare na timu ambayo unaamini ni mbovu? Swali kubwa. Nyumba inajengwa kwa siku moja? Matokeo ya mechi ya Ligi Kuu ya mwishoni mwa wiki kati…