Category: Michezo
Simba, Yanga zitaibua vipaji?
Aliyemuibua Joseph Yobo hadi akawa mmoja wa wachezaji maarufu nchini Nigeria ni mama mmoja aliyekuwa akishughulika na ukuzaji wa vipaji vya watoto katika Jimbo la River. Alitumia fedha zake mwenyewe kwa miaka mingi, lakini baadaye dunia ikaanza kumfahamu baada ya…
Samatta: Naanza kuwaelewa wenzangu
Mshambuliaji nyota wa Aston Villa, Mbwana Samatta, taratibu ameanza kuuzoea mfumo wa uchezaji wa timu yake mpya. Samatta pia ni nahodha wa Taifa Stars na ni mchezaji wa kwanza Mtanzania kucheza Ligi Kuu ya Uingereza (EPL). Akizungumza hivi karibuni, Samatta…
Soka letu linamhitaji Haji Manara
Huenda Kassim Dewji ni miongoni mwa viongozi wachache wa Simba wakiwa sehemu ya watendaji wa ‘Simba mbili’ zilizofanya maajabu kuliko Simba ya Manara. Jumamosi ya Novemba 26, 1993 wakati Desre Koume na Jean Ball ‘Boli Zozo’ wanainyima Simba ubingwa wa…
Wageni wanakuja, wanaondoka, makocha wa kwetu wapo tu
Achana na majina ya Sven van der Broeck wa Simba na Luc Eymael wa Yanga, tubaki na majina ya makocha wa hapahapa Afrika ili tuzungumze kitu kinachoeleweka. Hawa utawauliza tu nini kifanyike. Maana ukizungumzia kocha kutoka Malawi, Zambia, Kenya, Uganda,…
Kuna kazi ngumu
Serikali ya Hispania imefanya mabadiliko ya sheria ya haki za matangazo ya uonyeshaji wa mechi za soka kupitia vituo vya runinga. Ilipofika mwaka 2016, timu zote za Hispania zilikuwa na haki sawa kwenye suala la malipo ya haki za mechi…
Timu ikishinda ya wote, ikifungwa ya kocha
Mashabiki wa Liverpool wanaita ‘The Miracle of Istanbul” (muujiza wa Istanbul). Ni miaka 20 ilikuwa imepita tangu timu hiyo ilipotwaa Kombe la Klabu Bingwa Ulaya mwaka 1985. Mhispania Rafael Benitez anawapa kombe hilo katika fainali dhidi ya AC Milan mwaka…