JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Metacha Mnata na bahati ya mtende

Mpira wa miguu ni mchezo wenye mambo mengi sana. Ndiyo maana soka ina a.k.a nyingi kama Koffie Olomide. Yeye ni Grand Mopao, Papa Fololo, Gangi ya Film, Le Jeune Pato, Quadra Koraman, Songe ya Mbeli, Le Grand Mbakala, Papa Rocky,…

Simba, Yanga lazima zilie

Zitalia sana! Nikukumbushe kwanza. Kikao cha Kamati ya Uongozi cha Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kimeridhia baada ya siku 30 pale serikali itakaporuhusu michezo kuendelea, mechi za Ligi Kuu Bara, Ligi Daraja la Kwanza, Ligi Daraja la Pili na Ligi…

Msuva kumfuata Samatta EPL

Mshambuliaji wa Difaa El Jadida ya Morocco, Simon Msuva, ametajwa katika orodha ya mastaa kutoka Afrika Mashariki ambao wanaweza kumfuata Mbwana Samatta katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL). Samatta aliweka historia mwanzoni mwa mwaka huu kuwa Mtanzania wa kwanza kucheza…

Corona inavyowatesa wanamichezo duniani

Dunia inatetemeka! Habari kubwa kwa sasa ni juu ya virusi vya corona ambavyo vimetapakaa karibu ulimwengu wote. Havichagui jina wala umaarufu. Wale watu maarufu zaidi nao kwa sasa wamo katika karantini katika mikakati ya kuzuia kusambaa kwa virusi hivyo. Tuizungumzie…

Tufikirie kuleta waamuzi kutoka nje

Sitaki kuzungumzia matokeo ya mechi kati ya Yanga dhidi ya Simba. Kila mtu anajua matokeo yake. Kuna yaliyowafurahisha na wengine wamekereka. Ila kwa ujumla ninataka tutazame juu ya waamuzi wetu ndani ya Ligi Kuu. Na sitaitumia tu mechi hiyo kuangalia…

Yanga, Simba funzo tosha

Rais John Magufuli kuna kitu alikifanya kizuri zaidi Jumapili. Siku ambayo Yanga iliivaa Simba na kuondoka na ushindi wa bao 1-0, katika mchezo huo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Ile kwenda uwanjani tu, ilikuwa hamasa tosha na kuonyesha kuna ‘derby’…