Category: Michezo
Kante kioo cha Mzamiru
Na Mwandishi Wetu Umewahi kutulia na kumtazama kwa jicho la tatu kiungo wa Klabu ya Simba ya Dar es Salaam na timu ya soka ya taifa, Taifa Stars, Mzamiru Yassin? Kwa upande mwingine, unamfuatilia kwa umakini kiungo wa Klabu ya…
Nani ‘anaua’ vipaji Yanga?
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Ni matamanio ya kila shabiki wa soka kuiona klabu anayoishabikia ikipiga hatua na kufikia mafanikio, ikiwa ni pamoja na kuchukua mataji. Naam! Ni kama vile kuwafikisha wana wa Israel katika nchi ya ahadi na…
Nyota Liverpool awa Balozi Tanzania
ARUSHA Na Mwandishi Wetu Beki wa kimataifa wa Ufaransa na nyota wa zamani wa miamba wa soko wa Ligi Kuu ya England (EPL), Liverpool, MamadouSakho, ameombwa na kukubali kuwa Balozi wa Hiari wa Utalii wa Tanzania.Beki huyo wa kati mwenye…
Kwa Mkapa hatoki mtu
*Kaulimbiu ya Simba iliyowafikisha Robo Fainali DAR ES SALAAM Na Dk. Ahmad Sovu Kaulimbiu ni misemo rahisi inayotumiwa zaidi na wanasiasa au asasi fulani kwa lengo la kujenga hamasa yenye madhumuni ya kufikia malengo fulani. Makala hii madhumuni yake makuu…
Mwisho wa Djodi na Azam FC hautishi sana
Nilisoma mahali Azam FC walivyoachana na fundi wao wa mpira raia wa Ivory Coast, Richard Djodi. Richard ni fundi kweli kweli, mpira ukiwa mguuni mwake hautamani autoe haraka. Lakini namba zimemhukumu. Azam FC wamemuonyesha mlango ulioandikwa Exit. Soka la kileo…
Yanga, GSM na corona
Mashabiki wa Yanga wanalia. Wengi wanazungumza mambo mengi hasa katika kile kinachoendelea ndani ya klabu hiyo kwa sasa. Kisa ni sakata la klabu na Kampuni ya GSM ambayo iliamua ‘kujitolea’ kuwasaidia. Katika kipindi hiki ambacho dunia imejaa hofu ya virusi…