Category: Michezo
Messi na ukurasa wa mwisho Camp Nou
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Kila zama na kitabu chake. Kila nabii na kitabu chake. Hii ni misemo maarufu katika jamii na hutumika mara kwa mara. Messi naye ana kitabu chake katika Klabu ya Barcelona na soka kwa ujumla…
Ally Niyonzima ameachwa Azam!
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Klabu ya Azam FC ya Dar es Salaam wanakifanyia marekebisho kikosi chao. Wanasajili kila uchwao. Licha ya kufanya usajili mkubwa wa mastaa mbalimbali, lakini pia wameachana na baadhi ya mastaa. Mmoja wa mastaa walioachana…
Kigoma kuna nini?
KIGOMA Na Mwandishi Wetu Kigoma kuna nini? Hii ni kaulimbiu yenye swali iliyotumika miaka ya 1980 wakati sherehe za Sabasaba zilipofanyika kitaifa mkoani Kigoma. Safari hii imejirudia lakini kwa aina tofauti na sasa ni mashabiki wa Yanga ndio wanaojiuliza Kigoma…
Mzee Mpili anapotuongezea siku za kuishi
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Hebu fikiria unarudi nyumbani au maskani kutoka kazini, umechoka kwa pilikapili za kutwa nzima, kama kawaida unajikuta unashika simu yako ya kiganjani na kuingia katika mitandao ya kijamii. Mitandao ya kijamii ni liwazo kwa…
Messi yuko huru, haishitui
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Mambo huwa yanakwenda na kufika mwisho. Nimewahi kuuona mwisho wa Steven Gerrard na Liverpool. Nikawahi kuuona mwisho wa Sergio Ramos na Real Madrid. Hivi sasa ninauona mwisho wa Lionel Messi na Barcelona. Haishitui sana….
Italia na Cattenacio yao, Ureno na Ronaldo wao
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Michezo ya mzunguko wa pili michuano ya mataifa Ulaya maarufu kama EURO 2020, imeanza wiki iliyopita. Kila taifa limeshacheza mchezo mmoja, huku baadhi ya mataifa yakicheza michezo miwili. Michuano hiyo ya mwezi mmoja iliyopaswa…