Category: Michezo
Mtibwa Sugar itupiwe jicho makini
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Mtibwa Sugar wamelifunga dirisha la usajili kibabe sana. Wamesajili majembe ya maana. Msimu ujao siwaoni tena katika nafasi za mwisho kwenye msimamo wa ligi. Siku moja kijiweni kwetu Kinondoni niliwahi kumwambia mmoja wa wachezaji…
Stars na matumaini kibao
DAR ES SALAAM Na Mfaume Seha, TUDARco Timu ya taifa, Taifa Stars, imejiweka katika nafasi nzuri kuwania kufuzu kucheza michuano ya Kombe la Dunia itakayofanyika nchini Qatar mwakani. Stars inaongoza Kundi ‘J’ lenye mataifa ya DRC, Benin na Madagascar, ikiwa…
Kina Banda Mbezi, Chama Marakech
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Rafiki yangu Abdi Banda amerudi nchini kujiunga na Mtibwa Sugar. Sijui nini kimemtoa Afrika Kusini na kumrudisha nyumbani. Ninahisi kuna tatizo mahala. Muda ambao wachezaji wa mataifa mengine wanaikimbia ligi yetu kwenda ligi kubwa…
Kinywa cha Haji kinahitaji timu bora kiwanjani
NA MWANDISHI WETU Nchi ‘ilisimama’ kwa muda. Mitandao ya kijamii ilikuwa busy. Kila sehemu ni Haji Manara. Haji Manara. Haji Manara. Haji Manara. YES! Manara amehamia Yanga na wiki iliyopita jioni moja hivi alitambulishwa katika hoteli moja ya kifahali katikati…
Hii ndiyo Yanga ninayoijua
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Hii ndiyo Yanga ninayoijua. Inaingia sokoni kibabe, inasajili kibabe, kisha mashabiki na wanachama wake nje wanaanza kupiga mikwara mtaani. Simba si kama hawajasajili nyota, wamesajili nyota, lakini wako zao kimya katika ishu za mikwara…
Karibuni kwenye ‘show’ za Aucho
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Wiki iliyopita Yanga walimalizana na Mganda Klalid Aucho. Aucho ni kiungo wa ulinzi anayefanya sana kazi kiwanjani. Hapa Yanga wamepata mtu wa shoka. Binafsi ni shabiki wa Aucho. Tena ni shabiki wake mkubwa. Tangu…