Category: Michezo
Ronaldo ni msaada au mzigo Man U?
MANCHESTER, England Kabla ya wikiendi hii kufunga bao la kwanza miongoni mwa matatu katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Tottenham, mashabiki wa soka England walijiuliza maswali kadhaa kuhusu uwezo wa mwanasoka mkongwe na maarufu duniani, Cristiano Ronaldo. Akiwa na umri…
Uongozi wa soka nchini washitakiwa
Dar es Salaam NA ALEX KAZENGA Viongozi wenye jukumu la kusimamia mchezo wa mpira wa miguu nchini wameshitakiwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan. Wanashitakiwa kwa uzembe na kukosa uwajibikaji, hali inayotajwa kuwa kikwazo kwa ustawi wa soka. Aliyefikisha mashitaka hayo…
Soka la wanawake limenoga
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars, imetwaa ubingwa wa Michuano ya Shirikisho la Vyama vya Soka Kusini mwa Afrika (COSAFA), baada ya kuichapa Malawi 1-0 kwenye mchezo wa fainali…
Simba, Yanga wapambana kanisani
DODOMA Na Mwandishi Wetu Dakika 90 za pambano la Ngao ya Jamii kati ya Simba na Yanga la Septemba 25, mwaka huu halikuishia Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kama ilivyodhaniwa. Pambano hilo lilihitimishwa kwa aina yake siku iliyofuata,…
Dakika 90 za pambano la watani
NA MWANDISHI WETU Moja ya mechi nzuri iliyojaa ufundi mwingi na utulivu mkubwa. Ama kwa hakika mashabiki wa soka nchini wameona ukuu wa timu hizi mbili katika soka la Tanzania. Asanteni Simba na mabingwa Yanga kwa burudani nzuri ya weekend…
Afya ya Pele yatetereka
RIO DE JANEIRO, BRAZIL Afya ya mwanasoka maarufu duniani, Pele, imedorora baada ya kufanyiwa upasuaji kuondoa uvimbe tumboni, kisha kulazwa ICU. Hata hivyo,Kely Nascimento, binti wa nguli huyo wa soka, amesema hali yake inaimarika. “Ni kama amepiga hatua mbele. Anaendelea…