Category: Michezo
Simba mfukoni mwa Morrison
DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Hakika Bernard Morrison ananifurahisha kutokana na mwenendo wake wa ndani na nje ya uwanja. Mchezaji huyo wa Simba ambaye ni raia wa Ghana ana vituko, analijua soka, kisha ana akili. Sijui kama wengi tunamuelewa…
Chama ni Okwi mwingine katika soka letu
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Mwanasoka maaarufu nchini raia wa Zambia, Cletous Chama, ameondoka nchini miezi mitatu tu iliyopita lakini taarifa zake za kurejea nchini zinavuma kwa wingi kuliko hata kile anachokifanya akiwa uwanjani huko aliko sasa. Hali hii…
FEI TOTO… Muda sahihi, umri sahihi, wakati sahihi
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Yupo mchezaji mmoja wa Tanzania kwa sasa anayenivutia. Bila shaka huwavutia mashabiki wengi wa soka nchini. Mchezaji huyu anaitwa Feisal Salum Abdallah. Inasemekana kwamba ni bibi yake ndiye aliyeanza kulifupisha jina lake na kumuita…
‘Riadha itumike kuimarisha uhusiano’
SERENGETI Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja, amesema michezo ina nafasi kubwa ya kuimarisha uhusiano na ujirani mwema miongoni mwa wadau wa utalii nchini. Akizungumza baada ya kushiriki mbio maalumu za Serengeti Safari Marathon wiki…
Tuamke, muda unatukimbiza
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Nchi imo kwenye majonzi. Ni majonzi makubwa, hasa kwa mashabiki wa soka. Ni juzi tu tumetoka kufungwa mabao 0 – 3 na DRC. Kipigo hicho hakijaishia kutuumiza mioyo pekee, bali pia kimekatisha ndoto zetu…
Mbrazili ametuachia Manula imara
NA MWANDISHI WETU Wiki kama mbili au tatu hivi zilizopita, mabingwa wa soka nchini, Simba Sports Club, wamelivunja benchi zima la ufundi. Wameachana na kocha mkuu, kocha wa viungo na kocha wa makipa. Kwangu hii si stori mpya, wala hata…