JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Barnaba, Joh Makini wanogesha Jogging ya uhamasishaji kujiandikisha Pwani

Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha “Mjitokeze kwa wingi kwenye zoezi la uandikishaji wa wapiga kura, Natarajia kuona watu sita ndani ya kila saa ili tufikie malengo yetu ya uandikishaji kwa mkoa,” amesema Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Alhaj Abubakar Kunenge. Ili…

Aziz Ki na Ntibazonkiza uso kwa uso

Nahodha wa timu ya taifa ya Burundi, Saidi Ntibazonkiza anatarajia kukiongoza Kikosi cha Burundi Intamba Murugamba katika kusaka alama tatu muhimu dhidi ya Burkina Faso katika kusaka tiketi ya kuwania kufuzu AFCON 2025 nchini Morocco. Kwa upande mwingine, Aziz KI…

Coastal Union wahamia rasmi Arusha

Na isri Mohamed Uongozi wa klabu ya Coastal union umewajulisha rasmi mashabiki na wadau kwamba timu hiyo itautumia Uwanja wa Sheikh Amri Abedi, Arusha kama uwanja wake wa nyumbani kwa michezo yake inayofuata. Taarifa iliyotolewa na ‘Wanamangush’ leo Oktoba 10,…

Injinia Hersi aalikwa mkutano wa ECA Ugiriki

Na Isri Mohamed RAIS wa klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said ni miongoni kati ya wageni waalikwa kwenye Mkutano mkubwa wa vilabu Barani Ulaya (ECA). Hersi ambaye pia ni Mwenyekiti wa vilabu Barani Afrika, atahudhuria mkutano huo unaofanyika katika mji…

Waziri Mkuu awatembelea Stars mazoezini

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameitembelea Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) inayofanya mazoezi kwenye uwanja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) jijini Dar es Salaam na kusema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ana matumaini…

Yanga wapangwa na Mazembe, Hilal na Alger

Na Isri Mohamed Wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL ), Young Africans Sc wamepangwa Kundi A kwenye michuano hiyo sambamba na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Al Hilal ya Sudan na MC Alger ya…