Category: Michezo
Thadeo, Katembo wateuliwa Kamati ya Uchaguzi SHIMIWI
DODOMA Na Mwandishi Wetu Aliyewahi kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Michezo kwenye Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Leonard Thadeo na Hakimu Mfawidhi (mstaafu) wa Mahakama ya Utete, Rufiji, Ally Katembo ni miongoni mwa wajumbe watano walioteuliwa kuunda kamati…
Kisubi aliposajiliwa aliambiwa nini?
Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Kuna nyakati mtu unabaki ukicheka tu kutokana na hali inavyokwenda. Kuna golikipa mmoja amewahi kunichekesha sana. Huyu ni Jeremiah Kisubi, golikipa wa Simba aliyetolewa kwa mkopo kwenda kwa wakata miwa wa Morogoro, Mtibwa Sugar…
Yanga Princes waitazame Simba Queens
NA MWANDISHI WETU Jumamosi ya wiki iliyopita Timu ya Yanga Princes ilicheza mechi yao ya saba dhidi ya mtani wao Simba Queens. Kilichobadilika ni idadi ya mabao waliyofungwa katika ‘derby’ zilizopita ukiachana na ile ya Desemba 12, 2020 katika Uwanja…
Tutaanza kumshangaa Sure Boy
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Huko nyuma tuliwahi kuvishangaa viwango vya wanasoka kadhaa wa ndani kama akina John Bocco, Aishi Manula, Erasto Nyoni na Shomari Kapombe. Hawa walitushangaza au waliushangaza ulimwengu wa soka mara tu baada ya kuhamia Simba…
Mambo matatu mechi ya KMC, Simba
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Sikupata bahati ya kuiona mechi nzima ya ‘Mnyama’ akiwa ugenini dhidi ya Kinondoni Municipal Council kwa kifupi KMC, iliyopigwa wiki iliyopita kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora. Hii ni kwa kuwa nilikuwa…
Simba wanaweza kujenga uwanja wao
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Simba wameanzisha harambee ya kujenga uwanja wao. Tayari wana kiwanja cha kufanyia mazoezi, lakini hawana kiwanja cha kuchezea mechi. Harambee iko moto mitandaoni. Mashabiki na wanachama wanachanga walichonacho katika utaratibu wa kutuma pesa uliowekwa…