Category: Michezo
Waarabu walipotuonyesha walipo
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Wafaransa wanatamka ‘La Norme’. Wareno wanatamka ‘Pradao’. Wahispania wanatamka ‘El standard’. Sisi Waswahili tunatamka ‘Kiwango’. Ndiyo ni kiwango! Mataifa ya Afrika Mashariki ambayo wakazi wake wengi ni wenye asili ya Kiarabu, ni mataifa makubwa…
Kocha ‘rastafari’ aliyeibeba Senegal
*Miaka 20 tangu akose penalti fainali dhidi ya Cameroon Dakar, Senegal Aliou Cissé anasimama na kutazama pande zote za Stade du 26 Mars, moja ya viwanja vya soka vya Bamako nchini Mali, kisha anakimbia na kupiga penalti muhimu ya tano…
Siku Boban alipogomea mazoezi
London Na Ezekiel Kamwaga Hapo zamani za kale, Simba iliwahi kuwa na mchezaji aliyeitwa Haruna Moshi ‘Boban’. Ni miongoni mwa wachezaji wakubwa wa Tanzania niliowahi kuwashuhudia kwenye ubora wao. Akaenda Sweden kucheza Ligi Kuu. Riziki ikaisha, akarudi Tanzania kuchezea Simba….
Huku Simba, kule waamuzi
Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Wiki iliyopita niliamka na vitu viwili kichwani mwangu. Kwanza, niliamka na kitu kinachoitwa Simba; kisha nikaamka na kitu kinachoitwa waamuzi wa soka waliopo sasa nchini Tanzania. Leo ninajiuliza kati ya haya mawili tuanze na…
Kuna Edna, kisha makocha wetu
Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Kuna mstari mwembamba umepita katika kutenganisha jina la Edna Lema na majina ya makocha wengine wa soka la wanawake nchini. Kimuonekano ni mstari mdogo. Ni mstari mdogo wenye changamoto. Ukiutazama juu juu unaweza kuuona…
Manungu Complex panafaa kwa ligi Morogoro
Na Mwandishi Wetu Baada ya miaka 23 kupita, juzi Jumamosi tuliwaona Simba wakiwa katikati ya mashamba ya miwa yaliyopo Turiani, wakimenyana na ‘wakata miwa’ Mtibwa Sugar katika dimba la Manungu Complex, kisha kutoka sare ya bila kufungana. Mchezo huo ulikuwa…