JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Yanga, Simba, Azam usajili wa bilioni utavuna nini CAF?

DAR ES SALAAM Na Andrew Peter Usajili wa Yanga, Simba na Azam msimu huu hakuna shaka klabu hizo kwa pamoja zimekwisha kutumia zaidi ya Sh bilioni moja katika kuwanasa nyota hao. Ni jambo zuri kuona klabu zetu zimeamua kuvunja benki…

Mpole kuwa mpole kidogo kwa Simba

Dar es Salaam Na Andrew Peter Kama kuna jina lililopunguza furaha ya Wanayanga katika siku ya mwisho wa msimu huu, ni George Mpole. Mpole, mshambuliaji wa Geita Gold. Aliwakatili mashabiki wa Yanga waliokuwa na imani ya kuona nyota wao Fiston…

Pazia la Ligi Kuu kufungwa kesho

Dar es Salaam Na Andrew Peter Baada ya hekaheka za muda mrefu hatimaye pazia la Ligi Kuu ya Tanzania Bara litafungwa rasmi Jumatano hii lakini macho yatakuwa kwa timu nne za mwisho zinazowania kubaki katika ligi hiyo. Wageni Mbeya Kwanza…

Yanga bingwa, lakini…

DAR ES SALAAM Na Andrew Peter Mabingwa mara 28 wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, sasa wanahitaji kushinda mechi nne ili kumaliza msimu na rekodi ya kutokufungwa. Yanga ilitangaza ubingwa wa ligi wiki iliyopita baada ya kuifunga Coastal Union mabao…

Kumekucha uchaguzi wa Yanga

Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Harakati za uchaguzi wa Klabu ya Yanga zimeanza kwa kishindo na tayari majina kadhaa makubwa yamejitosa kutaka kumrithi Mwenyekiti, Dk. Mshindo Msolla. Hakuna ubishi uchaguzi wa mwaka huu utakuwa na utamu wa aina yake…

Bingwa Sh milioni 600, wachezaji maisha duni

DAR ES SALAAM Na Andrew Peter Baada ya kuishuhudia Taifa Stars ikipokea kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Algeria katika mchezo wa Kundi ‘F’ kusaka kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2023, Ivory Coast, macho na masikio…