JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Yanga yaichapa 4-0 Zalan FC Ligi Mabingwa Afrika

Timu ya Yanga SC imeanza vyema katika kampeni za kuwania kutinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa baada ya kuwachapa mabao 4-0 wenyeji Zalan FC kutoka nchini Sudan Kusini mchezo wa mkondo wa kwanza hatua ya awali Ligi ya Mabingwa…

Simba yang’ara ugenini Ligi Mabingwa Afrika

Simba SC wameng’ara ugenini baada ya kuwachapa wenyeji Big Bullets bao 2-0 mchezo wa mkondo wa kwanza hatua ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika inayopigwa kwenye uwanja wa Taifa Bingu, Malawi. Moses Phiri aliiandika bao la kwanza Simba mnamo dakika…

NMB Jogging mguu sawa ‘Mwendo wa Upendo’

Wakati mbio za NMB Marathon zikitarajiwa kutimua vumbi Septemba 24 mwaka huu, klabu ya NMB Jogging yenyewe jana Jumatatu ilianza kujifua mapema kwa ajili ya kujiweka tayari kushiriki mbio hizo. Jogging hiyo ilianza kujiandaa na mbio hizo kushirikiana klabu ya…

Azam FC yapata kocha mpya anayeijua soka la Afrika

Matajiri wa jiji la Dar es Salaam kutoka Chamazi Timu ya Azam FC Mwaka huu wamedhamiria baada ya kumleta kocha mwenye Makombe huku akiwa analijua zaidi Soka la Afrika Denis Lavagne,kutoka nchini Ufaransa. Kocha huyo raia wa Ufaransa, mwenye wasifu…