JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

RC Manyara ataka michezo kutumika kukuza Uhifadhi na Utalii

Na Mussa Juma, JamhuriMedia, Babati Mkuu wa Mkoa Manyara, Qeen Sendika ametaka sekta ya michezo mkoa Manyara kuendelea kutumika katika kukuza Utalii na uhifadhi wa mazingira na wanyamapori. Sendeka alitoa agizo hilo katika fainali ya michuano ya Chemchem CUP 2024…

Jeshi la Polisi latoa tahadhari kuelekea mechi ya Simba na Yanga

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia,Dar es Salaam Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema litachukua tahadhari zote za kiusalama kabla, wakati na baada ya mchezo Usalama utakuwa wa kiwango cha juu siku ya mchezo wa mpira wa miguu kati…

Kayoko akabidhiwa Simba vs Yanga

Na Isri Mohamed BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtangaza mwamuzi Ramadhan Kayoko kutoka Dar es Salaam kuwa refa atakayesimamia sheria 17 za mchezo wa soka kwenye Derby ya Kariakoo itakayopigwa Jumamosi, Oktoba 19, 2024 katika dimba la Benjamin Mkapa….

Tuchel achaguliwa kuwa kocha Mkuu England

Chama cha soka Nchini England (FA) kimetangaza Thomas Tuchel kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa hilo kwa mkataba wa miezi 18 kuanzia Januari 2025 ambao utambakisha kwenye hatamu mpaka mwishoni mwa kombe la Dunia 2026. Tuchel (51) raia wa…

Tulikuwa tunamuhofia Msuva tu – Mayele

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Dalaam Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Congo, Fiston Mayele amesema mchezaji pekee wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) waliyekuwa wakimuhofia ni Simon Msuva kutokana na uwezo wake mkubwa wa kukimbia eneo…

Rais Samia anunua tiketi 2000 za mashabiki wa Stars

Na Isri Mohamed Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amelipia tiketi 20,000 kwa ajili ya mashabiki wa Timu ya taifa ‘Taifa Stars’ kuingia katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kuishangilia timu hiyo kwenye…