JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Yanga,Kipanga watinga raundi ya kwanza Ligi ya Mabingwa

Timu ya Yanga SC imetinga raundi ya Kwanza Ligi ya Mabingwa barani Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Zalan FC kutoka Sudan Kusini mchezo wa mkondo wa kwanza hatua ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika…

Hawa hapa wachezaji waliowahi kucheza Real Madrid na Atletico

Na Wilson Malima,JamhuriMedia Wachezaji ambao wamewahi kuchezea Real Madrid na Atletco de Madrid, kwa vipindi tofauti kuelekea dabi ya Madrid. Katika msimu wa 2022/23 wa LaLiga Santander, kuna wachezaji kadhaa ambao wamebahatika kucheza mechi ya Atlético dhidi ya Real Madrid, wakiwa na…

Gekul:Ujenzi wa viwanda vya michezo ni jukumu la Serikali na wadau

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Pauline Gekul amesema ujenzi na uendelezaji wa miundombinu ya michezo ni jukumu la Serikali Kuu, Mamlaka ya Serikali za Mitaa, Taasisi , Mashirika ya Umma na Wadau wa michezo. Amesema hayo leo Septemba…

Simba,Yanga wote wapo kileleni

BAO pekee la kiungo Jonas Mkude dakika ya 86 lililoipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya. Simba SC imefikisha pointi 10 baada ya ushindi huo na kuungana kileleni na mabingwa watetezi,…

GSM yaingia mkataba na Yanga wasaini Bil.10.9/-

Klabu ya YangaSC leo Septemba 12, 2022 imesaini mikataba mipya miwili na wadhamini wao GSM, mkataba wa kwanza ni wa udhamini wa uzalishaji na usambazaji jezi na vifaa mbalimbali wenye thamani ya shilingi bilioni 9.1 kwa muda wa miaka mitano….