Category: Michezo
Simba yaichapa Dodoma Jiji 3-0
Klabu ya Simba imeendelea kutoa dozi kwenye Ligi Kuu Tanzania NBC baada ya leo kuichapa Dodoma Jiji Fc kwa mabao 3-0, mchezo ambao ulipigwa katika dimba la Benjamini Mkapa. Simba Sc imecheza mchezo huo siku chache baada ya kutoka visiwani…
Tanzania yashiriki ufunguzi Kombe Dunia kwa watu wenye ulemavu
Matukio katika picha yakionesha Shamrashamra katika uwanja wa Ulker uliopo nchini Uturuki kwenye hafla ya ufunguzi rasmi wa Mashindano ya Kombe la Dunia kwa watu wenye ulemavu jana. Timu kutoka Tanzania Tembo Warriors ambayo ilifuzu kucheza mashindano hayo nayo imeshiriki…
Kuelekea Kombe la Dunia: Tembo Warriors wajifua kambini Uturuki
Timu ya Taifa ya Soka kwa Walemavu, Tembo Warriors imeendelea na maandalizi yao wakiwa kambi maalum nchini Uturuki waliyoandaliwa na Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kabla ya Oktoba Mosi kuanza mechi yao ya kwanza ya Kombe la…
NMB yatangaza wadhamini NMB Marathon 2022
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Wiki moja kabla ya kufanyika kwa Mbio za Hisani za NMB Marathon ‘Mwendo wa Upendo,’ Benki ya NMB inayoandaa mbio hizo imetangaza wadhamini zaidi ya 20, ambao wameeleza siri ya uamuzi wa kukubali kudhamini kuwa ni kuguswa…
Zaidi ya mil.183/-kuhudumia Timu za Taifa
Na Shamimu Nyaki,JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo Pauline Gekul, amesema kiasi cha shilingi Milioni 183.5 zimetengwa katika mwaka huu wa fedha 2022/23 kwa ajili ya kuhudumia timu za Taifa. Gekul ameeleza hayo Bungeni jijini Dodoma leo Septemba…
Kewanja FC yaibuka kidedea Kombe la Mahusiano Barrick North Mara
Timu ya Kewanja FC imetwaa ubingwa wa Mashindano ya Soka ya Kombe la Mahusiano “Mahusiano Cup” baada ya kuichapa Murito FC bao 1-0 katika mchezo wa fainali. Fainali hiyo ilichezwa kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari ya Ingwe mjini Nyamongo…