Category: Michezo
Simba Queens yaingia nusu fainali Ligi ya Mabingwa Afrika
Timu ya wanawake ya Simba Queens imefanikiwa kuweka rekodi mpya katika soka la wanawake nchini kwa kutinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika Wanawake baada ya kuichapa timu Green Buffaloes Women ya Zambia, magoli 2 bila. Timu ya Simba…
Rais Malawi ampongeza Mkuu wa Majeshi ya ulinzi kwa ushirikiano
Na Meja Selemani Semunyu, Malawi Rais wa Malawi Lazarus Chakwera ameishukuru Tanzania kupitia Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob Mkunda kwa ushirikiano inaouonyesha kwa nchi hiyo na jeshi lake kupitia michezo ikiwemo Gofu. Rais Chakwera aliyazungumza hayo wakati wa…
Simba yaitwika mzigo Mtibwa Sugar 5-0
Klabu ya Simba imeamua kuifanyia ukatili Mtibwa Sugar baada ya kuinyeshea mvua ya magoli 5-0 na kuondoka na ushindi huo muhimu wa ligi kuu Tanzania bara. Kipindi cha kwanza Simba Sc ilifanikiwa kupata bao kupitia kwa Mzamiru na kuwapeleka mapumziko…
Yanga yazidi kujichimbia kileleni
BAO la penalti la winga Mghana, Bernard Morrison dakika ya 45 na ushei limeipa Yanga SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza….
Yanga yaendeleza rekodi yake
Klabu ya Yanga imeendeleza na rekodi yake ya kutokufungwa katika mechi ya 44 mara baada ya leo kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMC Fc. Yanga Sc imeingia uwanjani huku ikiwapumzisha wachezaji wake kadhaa akiwemo Mayele ambaye hakuwepo hata…