Category: Michezo
Yanga ‘Out’ Ligi ya Mabingwa
Timu ya Yanga imetupwa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuchapwa 1-0 na Al Hilal katika mchezo wa marudiano Hatua ya 32 Bora Uwanja wa Al Hilal mjini Omdurman nchini Sudan. Bao lililoizamisha Yanga limefungwa na…
Simba yatinga hatua ya makundi Ligi Mabingwa Afrika
Klabu ya Simba imefanikiwa kutinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuichapa timu ya Primeiro de Agosto ya nchini Angola 1-0 na kuwa jumla ya mabao 4-1 baada ya mechi ya kwanza Simba Sc kushinda 3-1 ugenini….
Ari, bidii na uzalendo imetuletea ushindi dhidi ya Ufaransa
Na Shamimu Nyaki- India Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Pauline Gekul ameipongeza timu ya Taifa ya Wanawake chini ya Miaka 17 (Serengeti Girls) kwa ushindi wa magoli mawili kwa Moja dhidi ya Ufaransa. Mechi hiyo ya Kundi D…
Serengeti Boys yaichapa Uganda kwa matuta
Tanzania imefanikiwa kumaliza nafasi ya tatu kwenye michuano ya CECAFA U17 baada ya ushindi wa penalti 4-1 dhidi ya Uganda Uwanja wa Abebe Bikila Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais Samia aipongeza Serengeti Girls,yaibamiza Les Bleues 2-1
Rais Samia Suluhu Hassan ameipongeza timu ya Serengeti Girls kwa kuibamiza Les Bleues ya Ufaransa mabao 2-1 katika michuano ya Kombe la Dunia kwa Wasichana chini ya Umri wa Miaka 17 (U17) katika mchezo wa Kundi D Uwanja wa Jawaharlal…