JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Yanga yaendeleza rekodi yake

Klabu ya Yanga imeendeleza na rekodi yake ya kutokufungwa katika mechi ya 44 mara baada ya leo kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMC Fc. Yanga Sc imeingia uwanjani huku ikiwapumzisha wachezaji wake kadhaa akiwemo Mayele ambaye hakuwepo hata…

Polisi yavunja mkataba na kocha mkuu

KLABU ya Polisi Tanzania imeachana na kocha wake Mrundi, Joslin Sharrif Bipfubusa baada ya miezi mitatu tu tangu ajiunge na timu hiyo Julai 26. Hatua hiyo inakuja siku moja baada ya Polisi Tanzania kuchapwa 2-0 na Tanzania Prisons katika mchezo…

Simba Queens yalamba bil.1/-M Bet

Na Wilson Malima,JamhuriMedia,Dar Timu ya soka ya Wanawake Simba Queens imefanikiwa kusaini mkataba wa thamani ya Sh. bilioni 01 kwa kipindi cha miaka mitano kutoka kwa kampuni ya michezo ya kubashiri M-Bet, ambapo timu hiyo itakuwa ikipokea milioni 200 kila…

Tanzania kucheza na Colombia Robo Fainali Kombe la Dunia

Na Shamimu Nyaki,JamhuriMedia Timu ya Taifa ya Wanawake chini ya Miaka 17 ( Serengeti Girls), inatarajia kucheza na Colombia katika robo fainali baada ya kuandika historia kwa mara kwanza kufuzu hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Dunia baada ya…

Waziri Ummy:Bima ya afya haitakuwa na matabaka

Waziri wa afya Ummy Mwalimu amesema Muswada wa bima ya afya unalenga kutoa huduma za matibabu kwa wananchi wote bila kujali tajiri au maskini hivyo hautakua na matabaka. Waziri Ummy amesema hayo leo 18 Oktoba 2022 wakati akiwasilisha muswada huo…

Serikali:Kila la heri Serengeti Girls

Na Shamimu Nyaki,JamhuriMedia Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Pauline Gekul ameitakia kila la heri Timu ya Wasichana chini ya miaka 17, (Serengeti Girls) katika mechi ya mwisho ya Kundi D dhidi ya Canada, itakayochezwa leo, Uwanja wa DY…