Category: Michezo
Mgunda apeleka vita kwao
Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda, yupo Jijini Tanga na timu yake ya Simba SC tayari kukabiliana na klabu ya Coastal Union ambaye ameinoa kwa muda mrefu kabla ya kujiunga na Simba SC ya Jijini Dar es Salaam. …
Mwinyi Zahera Kocha mpya Polisi Tanzania
Klabu ya Polisi Tanzania imemtangaza aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga kuwa kocha wake mpya baada ya mazungumzo ya muda mrefu na makubaliano ya pande zote mbili kufikiwa. Kocha huyo mwenye uraia wa Congo na Ufaransa atakuwa na jukumu kubwa la…
Suarez agoma kuiomba msamaha Ghana
Mchezaji wa Uruguay, Luis Suarez (31), amesema kamwe hawezi kuomba msamaha kwa kushika kwa mkono mpira uliokuwa unaingia golini kwao katika mechi yao ya Kombe la Dunia dhidi ya Ghana mwaka 2010 nchini Afrika Kusini. Watu wengi wamekuwa wakimtaka Suarez…
Afrika yaandika rekodi kombe la Dunia Qatar 2022
Nchi za Afrika kwa ujumla wake zimefanikiwa kupata ushindi kwa zaidi ya mechi 3 katika hatua ya makundi ya Kombe la Dunia ambapo katika Michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea nchini Qatar nchi za Afrika zimepata ushindi katika mechi 4. …
Morocco kuongeza idadi ya timu za Afrika 16 bora kombe la Dunia?
Na mwandishi wetu Saa 12:00 jioni ya leo waafrika wengi watakuwa mbele ya televisheni zao wakiangalia mechi ya Kombe la Dunia kati ya Morocco na Canada kwa matumaini makubwa ya kuona timu nyingine toka Afrika ikifuzu hatua ya 16 Bora…